Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Kuwafananisha Wanasheria na Wasanii au madalali siô heshima Kwa Wanasheria
Mzee tunaishi nao huku. 80% ya mawakilo ni matapeli. Life style ya mawakili hainatofauti na wasanii wa bongo flava. Hatuwakosei heshima bali huu ndio ukweli
 
Mzee I never attacked you personally. Nashangaa wewe umeanza kunizungumzia mimi.

Umesahau mara Moja hii uliponambia kuwa Mimi Gen Z, sijui nikikua, sijui upumbavu na blah blah!
Kumbe haikuwa Personal attack kwangu
Jibu hoja zangu. What is the sustainable source of revenue of TLS? Tupatie na source ya income ya mawakili.

Tuachane na matusi.
Mawakili Hawana source ya income kutokana na kuwa bado waô NI wachache na Pesa za Ada ya wanachama bàdo hazitoshi kujenga miradi.
Lakini hiyo haimaanishi kuwa Hawana nguvu
 
Hayo ni maoni yako. Tunayaheshimu
 
Upumbavu siyo tusi ni sifa. Jibu hoja sasa.

What is the source of revenue of TLS?
 
CCM ni chama cha watu wote. Walioenda na ambao hawajaenda shule. Inatusaidia sana kupata kura nyingi kwenye uchaguzi mkuu. CHADEMA iendelee kujikita kwa wasomi na iachane na makundi mengine wanayoona ni ya wajinga.
Ogopa sana kutegemea kundi la wajinga siku wakikugeuka kuwarudisha huwa ni kazi sana.
 
Tupatie sasa ya wakili. Maana nona huyo jamaa anamikopo miwili. Na huenda ameshajenga nyumba yake. Na anakatwa kila mwezi.

CWT has more revenue and assets than TLS.

TLS makelele meengi mfukoni zero
We jamaa kama una hela ni zako na familia yako tu. Sisi hazituhusu
 
Umemaliza
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Kwa sababu majority ya wana sheria tunajitambua. Na tuna uwezo wa ku reason
 
Honestly nimeshindwa kuelewa umeongea utoto gani.
 
Haya nieleze sasa nguvu ya TLS kwenye siasa za Tanzania.

1. Umekili kwamba hawana Pesa
2. Umekili kwamba ni wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…