Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #141
Upumbavu siyo tusi ni sifa. Jibu hoja sasa.
What is the source of revenue of TLS?
HahahaaaKamwambie mzazi wako kuwa ni mpumbavu uje utupe mrejesho.
Umekili?? Acha upumbavu wa kuandika kiswahili kilichokosewa.Haya nieleze sasa nguvu ya TLS kwenye siasa za Tanzania.
1. Umekili kwamba hawana Pesa
2. Umekili kwamba ni wachache
HatersSijaamini kama wanasheria wa bongo ni bendera fuata upepo tu ,wanakamuliwa mambo na Chadem na genge lao la wanaharakati machawa .
Wanafuata mkumbo wa space ,chama chao kipo kupambana na serikali na sio kuisaidia ushauri wanatuhumiwa na wanasiasa walimu wasingekubari kufanya huo utoto
USSR
Pole ndugu mtaji wa CCM.Tupatie sasa ya wakili. Maana nona huyo jamaa anamikopo miwili. Na huenda ameshajenga nyumba yake. Na anakatwa kila mwezi.
CWT has more revenue and assets than TLS.
TLS makelele meengi mfukoni zero
Kwenye fasihi upumbavu ni sifa lakini sifa mbaya.Hakuna Sifa ya upumbavu wewe.
Upumbavu ni Tusi
Tuachane na hayo Trudi kwèñye Hoja
Haya nieleze sasa nguvu ya TLS kwenye siasa za Tanzania.
1. Umekili kwamba hawana Pesa
2. Umekili kwamba ni wachache
Duuh,View attachment 3060287
JAMII YA WATU WAPUMBAVU HASWAAAAAAAAAA...!!
Ni kwèliKwenye fasihi upumbavu ni sifa lakini sifa mbaya.
Sasa unaanza kufundisha kiswahili siyo? Primary education wanajikita na definitions na spellings. Educated people deals with context.Umekili?? Acha upumbavu wa kuandika kiswahili kilichokosewa.
Hiyo siku ni lini mkuu?
Hilo jambo mbona liko wazi sana?Unamaoni gàni kuhusu mustakabali na athari za wanasheria kutokuwa upande sa Chama kinachounda serikali yàani CCM?
Je kûna uhûsiano wowote na kushindwa Kwa serikali katika Baadhi ya Kesi za ndàni na kimataifa?
So what? Dharau zinawaponza sana. Mtapiga kelele mpaka mtazeeka.Pole ndugu mtaji wa CCM.
TLS wanapiga kura? Je sheria inapiga kura?Nguvu ya Sheria huijui Kwa sbbu wewe sio mtawala.
Watawala WANAJUA Sheria NI nini?
Mtawala anaweza kukosa Wataalamu wôte lakini hawezi kukosa mwanasheria.
Sheria ndîo Siasa Mkûu.
Ni kwa kuwa wote CDM na TLS ni wapingaji wa dhuluma dhidi ya ummaKwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?
Nakumbuka juzi tumezindua SGR ya umeme imeletwa na CCM hayo siyo maendeleo? Unataka CCM wakutie mimba ndio uone maendeleo?Hilo jambo mbona liko wazi sana?
Hao CCM wameshindwa kutuletea maendeleo makubwa wananchi, pamoja na kukaa madarakani, tokea nchi hii inapata uhuru wake mwaka 1961
Huko ccm vilaza wa aina hiyo ni wa kumwaga. Nilipoona kwenye namba moja kaandika hivyo, nikadhani ni typo, aliporudia neno umekili nikajua ni kilaza😂Umekili?? Acha upumbavu wa kuandika kiswahili kilichokosewa.
Upumbavu maana yake ni nini?Ni kwèli
Sifa mbaya ndîo Tusi lenyewe.
Hakuna Tusi lenye maana ya Sifa nzuri
Kwèñye Hoja turudi
Regardless of its minority Brain is everythingHaya nieleze sasa nguvu ya TLS kwenye siasa za Tanzania.
1. Umekili kwamba hawana Pesa
2. Umekili kwamba ni wachache
Chadema hawajasema wanaachana na wajinga, wewe unawalisha maneno. Chadema inadhamira watanzania wote wajikomboe kifikra waweze kutetea haki zao, waweze kusimamia haki, kulinda rasilimali za taifa hili na kujiletea maendeleo kulingana na rasilimali za taifa hili.CCM ni chama cha watu wote. Walioenda na ambao hawajaenda shule. Inatusaidia sana kupata kura nyingi kwenye uchaguzi mkuu. CHADEMA iendelee kujikita kwa wasomi na iachane na makundi mengine wanayoona ni ya wajinga.