Hautafanikiwa kwa kuwagawa watanzania kikabila. Mnatakiwa mtueleze kwanini mnawaita kanda ya ziwa Sukuma Gang?
Wote hawa hapa ni wafuasi wa CHADEMA
View attachment 2486112
Tuwe waungwana,Boss unajichanganya na mimi nini?
Wenzangu akina nani? Nimekuuliza kwanini ninyi CHADEMA mnawagawa watanzania kikabila?Wenzako wameshakimbia hapa jukwaani ,naona ww umekuja kujaribu kuleta propaganda mfu ukutegemea utamtisha mtu. Pita na kipaza sauti hapo Mwanza waambie huu utoto wako, lakini jumamosi utafurahia show.
Je, Sukuma maana yake ni nini hapa Tanzania?Kanda ya ziwa gani ww kenge jike, hiyo kanda ya ziwa CDM watapiga show, na kundi haramu la sukuma gang wataendelea kupewa kubwa yao. Hutaki jinyonge.
Wenzako makinikia ya yule dhalim aliyeko motoni.Wenzangu akina nani? Nimekuuliza kwanini ninyi CHADEMA mnawagawa watanzania kikabila?
View attachment 2486147
Maandalizi ya mkutano yanaendelea vizuri mza,Wenzako wameshakimbia hapa jukwaani ,naona ww umekuja kujaribu kuleta propaganda mfu ukutegemea utamtisha mtu. Pita na kipaza sauti hapo Mwanza waambie huu utoto wako, lakini jumamosi utafurahia show.
Kama unaumia amka uvaeTunaumia sana ninyi CHADEMA mnapotaka kutugawa watanzania
Sukuma maana yake pushJe, Sukuma maana yake ni nini hapa Tanzania?
Ukinipatia maana ya Sukuma kisha nitakuuliza maana ya gang.Kanda ya ziwa gani ww kenge jike, hiyo kanda ya ziwa CDM watapiga show, na kundi haramu la sukuma gang wataendelea kupewa kubwa yao. Hutaki jinyonge.
Sukuma maana yake ni hii hapa:-Sukuma maana yake push
Ona sasa majibu yenu. Hamuwatakii mema wananchi 😪 😪 😪Kama unaumia amka uvae
Tuwe waungwana,
Tuwe mfano kuhakikisha ushawishi wetu unawaleta Watanzania pamoja.
Kwani tukiamua kuacha a na siasa za makundi ya kikabila, ukanda au udini itatugharimu nini?
CCM na CDM waache mambo hayo.
Ndugu TINDO naamini tunaweza kuacha siasa hizi.
Je, huyu siyo kijana wa CHADEMA?Naona kama umeshanasa kwenye propaganda mfu ya ukabila. Ni wapi CDM wana tatizo na kabila lolote? Boss nilikuwa nakuona muelewa kumbe unaweza kuchotwa kirahisi na hawa mafala wa CCM. Yaani toka hiz propaganda za kufala zianze hapa jukwaani hujajua ni vikundi vya propaganda za kizee vya CCM wanajaribu kuwatisha CDM?
Na ww umeingia kichwa kichwa ukiona kama CDM wana la kujibu kwenye propaganda mfu. Jinoe vizuri usichukuliwe kirahisi na propaganda mfu boss. CCM wameshapanic wanajua hiyo mikutano itawaacha pabaya, kwani wanajua ushindi waliojipa 2020 haukuwa halali. Hapa unachezewa mind game na ww unacheza ngoma yao!
Ukinijibu hapo juu nijibu tena na hapa:-Naona kama umeshanasa kwenye propaganda mfu ya ukabila. Ni wapi CDM wana tatizo na kabila lolote? Boss nilikuwa nakuona muelewa kumbe unaweza kuchotwa kirahisi na hawa mafala wa CCM. Yaani toka hiz propaganda za kufala zianze hapa jukwaani hujajua ni vikundi vya propaganda za kizee vya CCM wanajaribu kuwatisha CDM?
Na ww umeingia kichwa kichwa ukiona kama CDM wana la kujibu kwenye propaganda mfu. Jinoe vizuri usichukuliwe kirahisi na propaganda mfu boss. CCM wameshapanic wanajua hiyo mikutano itawaacha pabaya, kwani wanajua ushindi waliojipa 2020 haukuwa halali. Hapa unachezewa mind game na ww unacheza ngoma yao!
Maandalizi ya mkutano yanaendelea vizuri mza,
Kuna info za kuaminika kuwa mkutano wa huko mza utafana.
Ukinijibu hapo juu nijibu tena na hapa:-
View attachment 2486177Unaongea utoto gani dogo? Naona umeshakaa. Katafute watoto wenzio ndio uwalishe huu upuuzi.
Ona sasa. Ulivyomweupe kichwani. Unaendelea kutukana na kutusi mtu ambaye hayupo duniani. Nimekuuliza kwaniniSio kitu cha kuuliza, kila kitu kiko vizuri, na hilo nyomi la jmos watajua hawajui. Hawa wanaotaka kulinasibisha kabila la wasukuma na ukatili wa Magufuli, waambie wajitokeza hiyo jumamosi washuhudie jambo wasilotaka kuliona.
Cha muhimu ni wazungumzaji kwenye huo mkutano wa CDM wajue namna ya kushusha NONDO za uhakika. Wasipandishe vijana wenye mihemko, wakaongea maneno ya kizushi kisha CCM wakapata mwanya.