Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Vijana wanaeneza ukabila lakini mbowe hawakemei.

1674044139016.png
 
Narudia tena, sukuma gang sio kabila, bali ni kundi haramu liliondesha ukatilili wa wapinzani wao wa kisiasa. Na wengi waliojihusisha na kundi hilo haramu walikuwa ni viongozi toka kanda ya ziwa. Na walishiriki uovu ule ili kujipatia mapato kwa njia haramu na ya vitisho. Labda useme wasukuma wote walishiriki uhayawani alioendesha Magufuli kwenye nchi hii. Isitoshe hata huyo Magufuli hakuwa msukuma, bali alijinasibisha na kabila hilo ili kujipatia mtaji wa kisiasa wa bei rahisi.
Taahir.a makubwa...
 
Kwanini mnatumia jina la kabila la wasukuma? Kwani hakuna jina lingine?
Usitupangie,na kwa taarifa yako hilo jina limetoka huko huko CCM na waasisi wa jina hili wameshawamaliza kabisa masalia ya marehemu na cha kuwafanya hamna ndiyo maana mnahamisha magoli kupeleka lawama kwa Chadema, chezea Msoga Gang nyie mbuzi wa marehemu!!!
 
Ona unaendeleza ukabila tu. Na kuleta kejeli. Kwahiyo chato haifai kuwepo Tanzania? Kwanini unaleta siasa za kibaguzi? Hivi nyie CHADEMA mtaacha lini ubaguzi? Unataka kuanza kuwabagua watanzania?
Yule dhalim aliyeko motoni ambaye ndiye mungu wenu ndiye mwasisi wa ubaguzi huu.
 
Wengi wanoshabikia ubaguzi huu ni wafuasi au wakeleketwa wa CHADEMA. Je, wanataka kutugawa watanzania? .
Ona hapa chini Wote hawa ni wafuasi wa CHADEMA. Hivi ni kwanini?

View attachment 2486046

..wakati wa Jpm watu walikuwa wanagombea kuitwa SukumaGang.

..Jpm na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa walikuwa wanahutubia kilugha ktk shughuli za kitaifa.
 
..wakati wa Jpm watu walikuwa wanagombea kuitwa SukumaGang.

..Jpm na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa walikuwa wanahutubia kilugha ktk shughuli za kitaifa.
Swali linabaki pale pale. Kwanini CHADEMA wanawatukana wasukuma?
 
Nimeumia sana kuona watanzania wenzetu wanawabagua wengine. Ni huzini kubwa mno.
 
Back
Top Bottom