Ni CCM ndo waasisi wa mambo haya, baada ya move hiyo kupoa,Mimi hapa nauliza na tuweze kumaliza hili suala humu humu. Kwanini CHADEMA wanatukana kanda ya ziwa?
Wameamua kuzindua kabisa kundi la "CHAWA wa MAMA"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni CCM ndo waasisi wa mambo haya, baada ya move hiyo kupoa,Mimi hapa nauliza na tuweze kumaliza hili suala humu humu. Kwanini CHADEMA wanatukana kanda ya ziwa?
Kwanini msiwaite Jiwe Gang? Kwa hiyo ni sahihi pia Chawa wa Mh.Mbowe tuwaite Chagga Gang?Sukuma Gang ni wale Chawa wa Jiwe.
Hata mngekuwa 90% ya Watanzania wote kama mtaendelea na upumbavu wenu wa kushangilia maovu mtatukanwa tu! Halafu kura mtatoa!
Bado hujajibu swali? Kwanini CHADEMA wanawatenga wasukuma na kuwatukana huku wakiwaita majina mabaya?Hata mngekuwa 90% ya Watanzania wote kama mtaendelea na upumbavu wenu wa kushangilia maovu mtatukanwa tu! Halafu kura mtatoa!
Kama ni mambuzi mtabaki kuwa mambuzi na mtatukanwa bila woga?Inaumiza sana na kuwafanya watanzania wajisikie wanyonge. Watu wanawatukana kabisa watu wa kanda ya ziwa waziwazi kabisa. Na kuonesha kuwa hawafai nchi hii.
View attachment 2486246
Kwanini wanatumia jina la kabila la wasukuma? Lengo la kutumia jina la kabila ni nini? CHADEMA tuambieni.Sukuma gang ni chawa wa jiwe bila kujali kabila lao
Kwa sababu ni wajinga!Bado hujajibu swali? Kwanini CHADEMA wanawatenga wasukuma na kuwatukana huku wakiwaita majina mabaya?
inawaita wasukuma wajinga.Kwa sababu ni wajinga!
Macho huoni hata kupapasa huwezi!inawaita wasukuma wajinga.
Kwahiyo wasukuma ni wajinga?
Sukuma gang ni wafuasi wa jiwe kuwa muelewa,hata paramagamba na humphrey polepole ni sukuma gang japo sio wasukumaKwanini wanatumia jina la kabila la wasukuma? Lengo la kutumia jina la kabila ni nini? CHADEMA tuambieni.
Sawa CHADEMA tunashukuru kuwaita watanzania wa kanda ya ziwa wajinga.Macho huoni hata kupapasa huwezi!
Ndiyo ni wajinga!
Tubuni kwanza ninyi mliyemshabikia shetani!Nyie CHADEMA tubuni dhambi zenu.
Swali linabaki pale pale. Kwanini mnatumia jina la kabila? Kwanini msiite jiwe gang?Sukuma gang ni wafuasi wa jiwe kuwa muelewa,hata paramagamba na humphrey polepole ni sukuma gang japo sio wasukuma
Sasa kwani uongo? Ni wajinga wakubwa!Sawa CHADEMA tunashukuru kuwaita watanzania wa kanda ya ziwa wajinga.
Usituchagulie tusi la kutukana! Tutaendelea kutoa matusi makubwa zaidi yawachome rohoni ili mkome kwa tabia za kijinga!Swali linabaki pale pale. Kwanini mnatumia jina la kabila? Kwanini msiite jiwe gang?