Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Mimi hapa nauliza na tuweze kumaliza hili suala humu humu. Kwanini CHADEMA wanatukana kanda ya ziwa?
Ni CCM ndo waasisi wa mambo haya, baada ya move hiyo kupoa,

Wameamua kuzindua kabisa kundi la "CHAWA wa MAMA"
 
Inaumiza sana na kuwafanya watanzania wajisikie wanyonge. Watu wanawatukana kabisa watu wa kanda ya ziwa waziwazi kabisa. Na kuonesha kuwa hawafai nchi hii.

1674043636092.png
 
Acha kupotosha kwa makusudi Mkuu! Sio kila Msukuma ni Sukuma Gang..
 
Hata mngekuwa 90% ya Watanzania wote kama mtaendelea na upumbavu wenu wa kushangilia maovu mtatukanwa tu! Halafu kura mtatoa!
Bado hujajibu swali? Kwanini CHADEMA wanawatenga wasukuma na kuwatukana huku wakiwaita majina mabaya?
 
Kwanini wanatumia jina la kabila la wasukuma? Lengo la kutumia jina la kabila ni nini? CHADEMA tuambieni.
Sukuma gang ni wafuasi wa jiwe kuwa muelewa,hata paramagamba na humphrey polepole ni sukuma gang japo sio wasukuma
 
Sukuma gang ni wafuasi wa jiwe kuwa muelewa,hata paramagamba na humphrey polepole ni sukuma gang japo sio wasukuma
Swali linabaki pale pale. Kwanini mnatumia jina la kabila? Kwanini msiite jiwe gang?
 
CHADEMA tunawataka mtueleze. Kwanini mnawabagua wasukuma?
 
Swali linabaki pale pale. Kwanini mnatumia jina la kabila? Kwanini msiite jiwe gang?
Usituchagulie tusi la kutukana! Tutaendelea kutoa matusi makubwa zaidi yawachome rohoni ili mkome kwa tabia za kijinga!
 
Back
Top Bottom