Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kwanini utumie neno au jina la kabila. Kwani hakuna jina lingine? Ndio maana ninauliza kwanini wanawatusi watu wa kanda ya ziwa ambao ni zaidi ya 30% ya population ya Tanzania? Lengo ni kutugawa au lengo ni lipi?
Acha uzwazwa wewe Sukuma gang, hakuna mtu au jamii ya watu wenye hati miliki na hilo jina.
Mimi mbwa wangu anaituwa Msukuma.
Sukuma = Push.
 
CHADEMA wameanza kuwabagua wasukuma. Baadae watakuja kwa wengine. Hivi kwanini kweli nyie CHADEMA mlifanya hivi?
 
Acha uzwazwa wewe Sukuma gang, hakuna mtu au jamii ya watu wenye hati miliki na hilo jina.
Mimi mbwa wangu anaituwa Msukuma.
Sukuma = Push.
Sasa kwanini sasa mliacha kutumia push gang? Yaani mpaka natoa machozi.
 
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
haikusaidii hata kidogo. Chadema kanda ya ziwa wanaielewa kuliko wewe na chama chako! Tafuta lingne, hilo limefeli ab inition 😀 😀 😀 😀
 
Mimi wala sitaki kusema wanaielewa. Swali langu kipo palepale kwanini mnawaita wasukuma kuwa ni gang?
 
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
Sukumagang ni tusi???

Sukuma gang mkubwa wewe.
 
Swali linabaki palepale. Kwanini mtumie jina la kabila la watu!? Je lengo lenu kuwachafua wasukuma?
Siyo kwa nini tutumie, uliza kwa nini nitumie.
Siko affiliated upuuzi wa kuwa mfuasi wa vyama vya siasa bali hutumia akili zangu kupambania ninachoamini(kwa mtazamo wangu) kuwa ni haki.
Jina la Sukuma gang haliwezi kufa wala kufifia hata ulalamike kwamba Wasukuma wanahusishwa nalo japo kiukweli waanzilishi wake ni Wasukuma na majority ya Sukuma gang(my thoughts) ni Wasukuma.
Chawa wote wa Jiwe ni Sukuma gang, hii ndiyo definition ya wakati huu.
Kwa hii Sukuma inamaanisha Wasukuma japo spin masters wanaweza kuigeuza wakasema walikuwa wakimaanisha 'push' na hakuna ushahidi solid wa kuweza kuwapinga.
 
Issue inabaki palepale. Kwanini CHADEMA wanawaita watu wa kanda ya ziwa kuwa ni gang of sukuma?
 
Kuna Sukuma gang(chawa wa Jiwe) wengi ambao hawana uhusiano wowote na kanda ya ziwa, binafsi hilo jina la Sukuma gang nalipenda kwa kuwa linanichekesha hasa pale watu kama wewe mnapodhani mna akili ya kulitumuia kama turufu ya kisiasa.
Sukuma gang almost wote ni bongo lala.
 
Kwahiyo tunakubaliana wote hapa kuwa lengo lenu ilikuwa ni kuwachafua wasukuma na kuendesha siasa za kibaguzi.

Je, lengo lenu hili ninyi CHADEMA bado mpo nalo au mmeliacha?

..hivi mtu akisema ITALIAN MAFIA maana yake amelenga kuwachafua Waitaliano wote?

..SukumaGang ndio waliokuwa na malengo mabaya wakiendesha siasa za kibaguzi na kikatili.

..kulifichua kundi hilo haimaanishi kushambulia au kuchafua jamii nzima ya Wasukuma.
 
Kuna Sukuma gang(chawa wa Jiwe) wengi ambao hawana uhusiano wowote na kanda ya ziwa, binafsi hilo jina la Sukuma gang nalipenda kwa kuwa linanichekesha hasa pale watu kama wewe mnapodhani mna akili ya kulitumuia kama turufu ya kisiasa.
Sukuma gang almost wote ni bongo lala.
Kwahiyo kumbe nyie CHADEMA mnawaona wasukuma kuwa ni bongo lala.
Ndio maana mnawatukana kila siku.
 
Unatakiwa uwe mpole. Unapoanzisha. Nyie ndio mlioazisha matusi haya ya nguo kuwaita watu gang. Tukitaka mtupatie maelezo mnaanza kuita moderators. Why?
Usifikiri Wasukuma ni wajinga hawaelewi huu mchezo wako wa kijinga kutaka kutumia kabila lao kwa malengo yako ya kipumbavu. Humpati mtu utabaki na hao wajinga wajinga wenzako masalia ya yule Mhutu dhalim.
 
..hivi mtu akisema ITALIAN MAFIA maana yake amelenga kuwachafua Waitaliano wote?

..SukumaGang ndio waliokuwa na malengo mabaya wakiendesha siasa za kibaguzi na kikatili.

..kulifichua kundi hilo haimaanishi kushambulia au kuchafua jamii nzima ya Wasukuma.
Kama siyo jamii nzima ya wasukuma ni jamii ipi ya wasukuma? Na kwanini sasa mfanye hivyo. Huoni kuwa mnawachafua wasukuma kwa ujumla wao? Je, nyie CHADEMA wasukuma wamewakosea nini?

Kwasababu Mbowe ni mchaga tuwaite Chaga gang mtafurahi?
 
Back
Top Bottom