Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhusiano wowote na CHADEMA wala chama chochote cha siasa, kwangu kuwa mfuasi wa chama chochote maana yake ni kuwa mtumwa wa wanaofaidika na chama husika.Kama nyie CHADEMA mmekubalina kuwaita wasukuma hivyo mimi ni nani niwapinge?
Wewe na moderators ndiyo mnawaita hivyo WasukumaSasa kwanini mnawatita wasukuma kuwa ni gang?
Nitaamini vipi wewe siyo mfuasi wa CHADEMA? Maana waowachafua wasukuma ni CHADEMA na wewe unafanya hivyo.Sina uhusiano wowote na CHADEMA wala chama chochote cha siasa, kwangu kuwa mfuasi wa chama chochote maana yake ni kuwa mtumwa wa wanaofaidika na chama husika.
Turudi kwenye mada, Sukuma gang ni kundi la mazuzu wasiojielewa.
Tubuni dhambi zenu za kibaguzi Mungu atawasamehe.Wewe na moderators ndiyo mnawaita hivyo Wasukuma
Tubuni dhambi zenu za kibaguzi Mungu atawasamehe.
Inasikitisha sana kuanza kuwabagua wasukuma. CHADEMA kwanini mnafanya hivi?Nyie wafuasi wa marehemu ndiyo mtubu kwa kumwaga damu za Watanzania wasiokuwa na hatia na huyo mungo wenu anabanikwa kama ndafu huko jehanam
Wao akina nani?Wao ndio waliojiita Sukumagang
Naomba utuwekee hapa ushahidi wa watu wa Kanda ya Ziwa kuitwa "sukuma gang" na CHADEMA.Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.
Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.
Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?
Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017
Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
CHADEMA ni watu. Ikiwa viongozi wa CHADEMA hawakemei matendo ya kibaguzi ya wanachama wao, maana yake vitendo hivyo vinabaraka kutoka kwa viongozi.Naomba utuwekee hapa ushahidi wa watu wa Kanda ya Ziwa kuitwa "sukuma gang" na CHADEMA.
Nasisitiza, CHADEMA, nas sio mtu anayejiita "fulani Chadema".
Namaanisha kutoka kwenye ofisi inayotambulika ya CHADEMA.
Kwa sababu ni wajinga na wapumbavu!Gang umeeleza mbona sukuma hujaeleza?
Kwanini uwatukane wasukuma?
Hao wanaobaguliwa ni genge la wahalifu na wauaji!CHADEMA ni watu. Ikiwa viongozi wa CHADEMA hawakemei matendo ya kibaguzi ya wanachama wao, maana yake vitendo hivyo vinabaraka kutoka kwa viongozi.
CHADEMA watoke hadharani wawakemee wanachana wao kuwabagua wasukuma.
CCM kumejaa kila aina ya watu wenye matendo maovu na ya kishetani,umeshawahi ona mtu anasema viongozi wa CCM wajitokezee kukemea hao watu na matakataka yao wayafanyayo!!??CHADEMA ni watu. Ikiwa viongozi wa CHADEMA hawakemei matendo ya kibaguzi ya wanachama wao, maana yake vitendo hivyo vinabaraka kutoka kwa viongozi.
CHADEMA watoke hadharani wawakemee wanachana wao kuwabagua wasukuma.
Kwasababu ninyi CHADEMA mmekubaliana hivyo kuwaita wasukuma kuwa ni wapumbavu sisi ni nani tuwapinge?Kwa sababu ni wajinga na wapumbavu!
Kwahiyo tunakubaliana kuwa CHADEMA kuwaita sakuma kuwa ni gang limebarikiwa na viongozi wa CHADEMA.CCM kumejaa kila aina ya watu wenye matendo maovu na ya kishetani,umeshawahi ona mtu anasema viongozi wa CCM wajitokezee kukemea hao watu na matakataka yao wayafanyayo!!??
Kwa nini hamuwezi kuja na hoja za maana zaidi ya viroja!!???
Hiyo 1, where is 2 ??Sheikh google hii hapa:
View attachment 2486397
Je, No 1 ipo sahihi kuwa gang ni majambazi?Hiyo 1, where is 2 ??
Nimekwambia tuonyeshe official document yoyote ya CHADEMA inayoita Sukuma gang au weka clip ya kiongozi mkubwa wa CHADEMA akitamka sukuma gang.Kwahiyo tunakubaliana kuwa CHADEMA kuwaita sakuma kuwa ni gang limebarikiwa na viongozi wa CHADEMA.
Basi sawa kwa ufafanuzi wako. Asante sana sote tumeelewa kuwa CHADEMA wanawabagua wasukuma.