Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Wakija Mwanza na huo upuuzi, wataambulia aibu kubwa sana.

Saivi kanda ya ziwa si ngome ya ccm wala chadema ni ngome ya JPM. Ndomana vyama vyote viwili vinapanga kuingia kanda ya ziwa kwa uangalifu mkubwa. Hizo mbwembwe za Jpm alikuwa mwizi n.k hutazisikia wakiwa kanda ya ziwa wataenda kusemea kwingine huko
 
1674057080964.png

Ona CHADEMA wanavyo watukana wasukuma. Hivi kwanini CHADEMA mnafanya hivi
 
Naomba utuwekee hapa ushahidi wa watu wa Kanda ya Ziwa kuitwa "sukuma gang" na CHADEMA.
Nasisitiza, CHADEMA, nas sio mtu anayejiita "fulani Chadema".

Namaanisha kutoka kwenye ofisi inayotambulika ya CHADEMA.
Huyu mfuasi wa dhalim mwendakuzimu anabebwa na mods ndiyo maana anafanya uchochezi mchana kweupe
 
Mimi namtaka Mbowe alitolee ufafanuzi suala hili. Kwanini kutaka kuwatenga watanzania wakati yeye ni kiongozi wa kitaifa?
 
Nitaamini vipi wewe siyo mfuasi wa CHADEMA? Maana waowachafua wasukuma ni CHADEMA na wewe unafanya hivyo.
Uamini au usiamini kwangu haina maana yoyote, kikubwa ni kwamba Sukuma gang ni mazuzu.
 
Wakija Mwanza na huo upuuzi, wataambulia aibu kubwa sana.

Saivi kanda ya ziwa si ngome ya ccm wala chadema ni ngome ya JPM. Ndomana vyama vyote viwili vinapanga kuingia kanda ya ziwa kwa uangalifu mkubwa. Hizo mbwembwe za Jpm alikuwa mwizi n.k hutazisikia wakiwa kanda ya ziwa wataenda kusemea kwingine huko
Aliiba 1.5 trillion mchana kweupe na CAG alibaini wizi huo, kwa wizi huo chama chochote makini kinapaswa kulizungumzia.
 
Wakija Mwanza na huo upuuzi, wataambulia aibu kubwa sana.

Saivi kanda ya ziwa si ngome ya ccm wala chadema ni ngome ya JPM. Ndomana vyama vyote viwili vinapanga kuingia kanda ya ziwa kwa uangalifu mkubwa. Hizo mbwembwe za Jpm alikuwa mwizi n.k hutazisikia wakiwa kanda ya ziwa wataenda kusemea kwingine huko
Hujitambui wewe, rejea kampeni za uchaguzi 2020 alivyokuja Lissu pale Furahisha. Binafsi nilikuwepo na alieleza ufedhuli na wizi wa jewelry hadharani na wanamwanza tulimwelewa. Huyo jiwe hajawahi kuwa msukuma bali ni mrundi kama akina Nkurunzinza tu
 
Huo ni uwongo mkubwa. Hivi huko Bungeni kuna CHADEMA? Musukuma aliwahi kulalamika bungeni kuwa hicho kinachoitwa Sukuma gang, hakipo. Kuna mahali aliwahi kuwataja CHADEMA ndio waliokuwa wanayasema maneno hayo?

Kwani wanaomsakama Mama Rais Samia ni CHADEMA au makundi ndani ya CCM? Wanaomsakama Rais Samia kwenye mitandao kuwa anaendesha na Msoga gang, ni CHADEMA au wanaCCM? Kama mnatamka kuwa ndani ya CCM, kuna Msoga gang, hao Msoga gang ni akina nani, na ambao siyo Msoga gang ndani ya CCM mnawaita nani?

Majina mnajipa wenyewe lakini baadaye shutuma zikizidi, mnageuka na kusema majina hayo mmepeqa na CHADEMA.

Umewasikia wenzio wamezindua kundi la CHAWA WA MAMA, siku wengi wakianza kuhoji juu ya hilo kundi, watageuka na kulaumu CHADEMA kwa nini inawaita chawa.
 
Naona unaongea na kujijibu mwenyewe. Sukuma gang sio kabila kama wañaccm mliochoka mnavyotaka tuamini. Sukuma gang ni viongozi wote walioshirikiana na Magufuli kufanyia wapinzani wao wa kisiasa ukatili wa wazi. Wengi wa viongozi hao waliojinasibu na ukatilili wa Magufuli walikuwa ni kutoka kanda ya ziwa, na walashiriki uovu ule katika kile kinachoitwa ni zamu yetu kula nchi. Kwahiyo usitake kuchanganya watu wa kanda ya ziwa, na kundi haramu la sukuma gang lililokuwa chini ya Magufuli.
Tena Gwaji alifikia kutamka wazi kuwa walikuwa wanafanya jitihada ya kuhakikisha hilo kundi linamiliki uchumi wa nchi.

Mwulize Gwaji kwa njni alianzisha hilo kundi.
 
Back
Top Bottom