Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sukuma gang ni hiyo gang no 2Je, No 1 ipo sahihi kuwa gang ni majambazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma gang ni hiyo gang no 2Je, No 1 ipo sahihi kuwa gang ni majambazi?
Nimekuuliza hiyo namba moja ipo sawa maana ya gang?Sukuma gang ni hiyo gang no 2
Huyu mfuasi wa dhalim mwendakuzimu anabebwa na mods ndiyo maana anafanya uchochezi mchana kweupeNaomba utuwekee hapa ushahidi wa watu wa Kanda ya Ziwa kuitwa "sukuma gang" na CHADEMA.
Nasisitiza, CHADEMA, nas sio mtu anayejiita "fulani Chadema".
Namaanisha kutoka kwenye ofisi inayotambulika ya CHADEMA.
Uchochezi wa namna hii tuuiteje?Huyu Sukuma Gang anabebwa na mods ndiyo maana anafanya uchochezi mchana kweupe
Uamini au usiamini kwangu haina maana yoyote, kikubwa ni kwamba Sukuma gang ni mazuzu.Nitaamini vipi wewe siyo mfuasi wa CHADEMA? Maana waowachafua wasukuma ni CHADEMA na wewe unafanya hivyo.
Likiongozwa na jambazi sugu Sabaya.Je, No 1 ipo sahihi kuwa gang ni majambazi?
Aliiba 1.5 trillion mchana kweupe na CAG alibaini wizi huo, kwa wizi huo chama chochote makini kinapaswa kulizungumzia.Wakija Mwanza na huo upuuzi, wataambulia aibu kubwa sana.
Saivi kanda ya ziwa si ngome ya ccm wala chadema ni ngome ya JPM. Ndomana vyama vyote viwili vinapanga kuingia kanda ya ziwa kwa uangalifu mkubwa. Hizo mbwembwe za Jpm alikuwa mwizi n.k hutazisikia wakiwa kanda ya ziwa wataenda kusemea kwingine huko
Mungu wangu huu ubaguzi wa kuwabagua wasukuma nani aliwafundisha ninyi CHADEMA?Uamini au usiamini kwangu haina maana yoyote, kikubwa ni kwamba Sukuma gang ni mazuzu.
Hujitambui wewe, rejea kampeni za uchaguzi 2020 alivyokuja Lissu pale Furahisha. Binafsi nilikuwepo na alieleza ufedhuli na wizi wa jewelry hadharani na wanamwanza tulimwelewa. Huyo jiwe hajawahi kuwa msukuma bali ni mrundi kama akina Nkurunzinza tuWakija Mwanza na huo upuuzi, wataambulia aibu kubwa sana.
Saivi kanda ya ziwa si ngome ya ccm wala chadema ni ngome ya JPM. Ndomana vyama vyote viwili vinapanga kuingia kanda ya ziwa kwa uangalifu mkubwa. Hizo mbwembwe za Jpm alikuwa mwizi n.k hutazisikia wakiwa kanda ya ziwa wataenda kusemea kwingine huko
Kwa hiyo wewe unalalamikia wanaoeneza, huwalalamimikii walioanzisha?Hebu angalia huku. Wanaoeneza suala hili ni wafuasi wa CHADEMA. hawa watu wana nini jamani?
View attachment 2486055
View attachment 2486060
Kwani ukijpa jina na ukajitangaza nalo, watu wakikuita kwa jina ulilojipa, ni kosa?Vijana wengi walitumwa na CHADEMA kuwachafua kanda ya ziwa na kuwaita Sukumagang. Hivi ni kwanini? Nauliza nipate jibu.
View attachment 2486065
Kamwuliza Gwaji kwa nini alianzisha hilo kundi.
Chawa ndio wanaoongoza kuwaita wafuasi wa Magufuli ni Sukuma gang !!Wengi wanoshabikia ubaguzi huu ni wafuasi au wakeleketwa wa CHADEMA. Je, wanataka kutugawa watanzania?
Ona hapa chini Wote hawa ni wafuasi wa CHADEMA. Hivi ni kwanini?
View attachment 2486046
Tena Gwaji alifikia kutamka wazi kuwa walikuwa wanafanya jitihada ya kuhakikisha hilo kundi linamiliki uchumi wa nchi.Naona unaongea na kujijibu mwenyewe. Sukuma gang sio kabila kama wañaccm mliochoka mnavyotaka tuamini. Sukuma gang ni viongozi wote walioshirikiana na Magufuli kufanyia wapinzani wao wa kisiasa ukatili wa wazi. Wengi wa viongozi hao waliojinasibu na ukatilili wa Magufuli walikuwa ni kutoka kanda ya ziwa, na walashiriki uovu ule katika kile kinachoitwa ni zamu yetu kula nchi. Kwahiyo usitake kuchanganya watu wa kanda ya ziwa, na kundi haramu la sukuma gang lililokuwa chini ya Magufuli.