Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Acha uzwazwa wewe Sukuma gang, hakuna mtu au jamii ya watu wenye hati miliki na hilo jina.Kwanini utumie neno au jina la kabila. Kwani hakuna jina lingine? Ndio maana ninauliza kwanini wanawatusi watu wa kanda ya ziwa ambao ni zaidi ya 30% ya population ya Tanzania? Lengo ni kutugawa au lengo ni lipi?
Mimi mbwa wangu anaituwa Msukuma.
Sukuma = Push.