Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Vijana wanaeneza ukabila lakini mbowe hawakemei.

 
Vijana wa CHADEMA wanachuki sana na wasukuma

 
Muziki wa wasukuma. Wanabaguliwa na CHADEMA
 
Taahir.a makubwa...
 
Kwanini mnatumia jina la kabila la wasukuma? Kwani hakuna jina lingine?
Usitupangie,na kwa taarifa yako hilo jina limetoka huko huko CCM na waasisi wa jina hili wameshawamaliza kabisa masalia ya marehemu na cha kuwafanya hamna ndiyo maana mnahamisha magoli kupeleka lawama kwa Chadema, chezea Msoga Gang nyie mbuzi wa marehemu!!!
 
Ona unaendeleza ukabila tu. Na kuleta kejeli. Kwahiyo chato haifai kuwepo Tanzania? Kwanini unaleta siasa za kibaguzi? Hivi nyie CHADEMA mtaacha lini ubaguzi? Unataka kuanza kuwabagua watanzania?
Yule dhalim aliyeko motoni ambaye ndiye mungu wenu ndiye mwasisi wa ubaguzi huu.
 
Wengi wanoshabikia ubaguzi huu ni wafuasi au wakeleketwa wa CHADEMA. Je, wanataka kutugawa watanzania? .
Ona hapa chini Wote hawa ni wafuasi wa CHADEMA. Hivi ni kwanini?

View attachment 2486046

..wakati wa Jpm watu walikuwa wanagombea kuitwa SukumaGang.

..Jpm na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa walikuwa wanahutubia kilugha ktk shughuli za kitaifa.
 
..wakati wa Jpm watu walikuwa wanagombea kuitwa SukumaGang.

..Jpm na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa walikuwa wanahutubia kilugha ktk shughuli za kitaifa.
Swali linabaki pale pale. Kwanini CHADEMA wanawatukana wasukuma?
 
Nimeumia sana kuona watanzania wenzetu wanawabagua wengine. Ni huzini kubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…