Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
Wajinga tu wana chuki na wasukuma. Ile 2015 kwenye kampeni wakiwa na lowassa waliizungukia kanda ya ziwa kila kona wakajua wameshawapata wasukuma. Halafu ikatokea jpm akawapiga chini kinoma. Kwa ujinga wao wanafikiri jpm alipewa kura kwa ukabila. Wanashindwa kukubali hawana ubavu mbele ya ccm karibu kote nchini.
Mwaka wa 2020 ndio hata usiseme kitu. Cdm walimuweka mgombea wao yule wazimu lissu eti wanatarajia kumshinda magufuli.
Baada ya kuwaweka consultants wale wazungu na kuwahakikishia watamshinda magufuli basi wakajua kazi imememalizika.
Kasumba ya kuamini wazungu mbaya sana. Eti yule mshauri shoga armsterdam waliyomkodi akawapiga hela kubwa, kwa kua kawaambia ushindi ni wao basi wakawa wanaamini ushindi ni wao. Wameacha kuona jinsi uongozi wa magufuli na mafanikio yake makubwa yalivyoweza kurudisha imani ya wananchi kwa ccm.
 
Kwanini msingeita hata Magufuli gang kama mlitambua sio wasukuma wrote waliohusika na hayo.
Lengo lilikuwa kuwatenga wasukuma dhidi ya watanzania wengine.
Na wale mlioshirikiana nao kulitangaza hilo jina kina fatma karume, kigogo na maria sarungi wao wankula maisha nyinyi mnaenda kujifedhehesha huko kanda ya sukuma gang
Hizi ni porojo za ccm tu kwani ungejua hata kanda ya ziwa ilivyochoka na hicho chama chenu ungekaa kimya kabisa.
 
Kutokupokea ruzuku na kutokuwa na hela ni vitu tofauti, hiyo mikutano huwezi andaa kama huna hela.
Ubunge huwa mnashinda ila uraisi kwa ubaguzi wenu miaka elfu hamtashinda
Ni kweli kwa tume yenu hii feki hawawezi kushinda ila hamuwezi kudhulumu siku zote kwani hata uovu una mwisho hata dikteta Magufuli amenyanyasa wee lkn mwisho ameondoka hivyo hata ccm itaondoka ni swala la muda tu.
 
Hii mada Imepinda.
Imepindishwa,
Itapindisha.
Tume ya Haki, Iwe Tume ya Ukweli, na Ukweli mtupu na Kifungo Juu.

Hatahivyo.....

Hakuna genge wala Gang inayoitwa Sukuma sehemu yeyote ile Tanzania. Muulizeni Nape au Msigwa. Shabash!
 
Mambo yao waachie wenyewe... Fanya mambo mengine...
 
Kwanini utumie neno au jina la kabila. Kwani hakuna jina lingine? Ndio maana ninauliza kwanini wanawatusi watu wa kanda ya ziwa ambao ni zaidi ya 30% ya population ya Tanzania? Lengo ni kutugawa au lengo ni lipi?
Tangu waanze kuwaita hilo jina maarufu kabisa la sukuma gang mmeshagawanyika?
 
Back
Top Bottom