Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Hanithi ni baba yako aliyezaa zumbukuku kama wewe ambaye unafikiria kwa kutumia makalio.Wazazi wako wamezaa taahira , hauna kazi ya kufanya unatembelea mgongo wa dini ...Hanithi mkubwa wwe , hamna unachojua kazi kushobokea watu kwa ujinga wako.
Yafuatayo ni majibu kwanini chargi za simu za aina tofauti-tofauti hazitengenezwi Tanzania majibu yapo kwenye video
Huyo mwanzisha Uzi atakuwa kazaliwa miaka ya 2000 na kitu hapoMzee baba hakuna kitu chochote kigumu hapo...
Unafahamu kulikiwa na kiwanda cha National na Panasonic Tanzania na kilikiwa kinaunda redio ambazo zina electronic boards + components kama charger ya simu tu...
Dunia ya Leo sio ya mwaka 1970's ulishawahi jiuliza kwanini vilikufaHuyo mwanzosha Uzi atakuwa kazaliwa miaka ya 2000 na kitu hapo
Ni ngumu kwa sababu hivyo vitu vyote leo hii havizalishwi afrikaMzee baba hakuna kitu chochote kigumu hapo...
Unafahamu kulikiwa na kiwanda cha National na Panasonic Tanzania na kilikiwa kinaunda redio ambazo zina electronic boards + components kama charger ya simu tu...
Kwani mimi nimekuambia nimefanya kituSijafanya kitu.
Wewe una kipi ulichofanya?
Wewe una kipi ulichofanya?Kwani mimi nimekuambia nimefanya kitu
Wewe sindo umeanza kushambulia waafrika kwa kuwaita wajinga
Unapuyangu huku duniani unapataje nguvu za kuwaambia waafrika hawana akili ili hali hakuna cha maana wewe ulichofanya
Tukija kwenye indistrial application it different. Wateja wanataka kitu wenye uhakika nacho.Hizi ni excuses tu, ebu ingia youtube uone wahindi wanavyo-reproduce hizo vitu uwani, with no special tools.
- Circuit boards za kila aina zinapatikana
- Electronics components za kila aina zinapatikana.
- Tuna viwanda vya kuzalisha magodoro, vyombo vya plastics kama Cello, wanahitaji mould tu.
- Smelter za ukubwa huo za nini kwa sasa? Wahunzi wa chuma walitumia nini? Sembuse sasa tuna gesi?
Tuendelee tu kudanganya na biashara ya iphone makumbusho, mara jicho la 3 la Godlove, Uwinga, Uchawa, Unanijua mimi nani...ndo uwezo wa akili zetu ulipoishia
Mimi sinaWewe una kipi ulichofanya?
Jibu swali acha kuleta unnecessary words.
Wewe una kipi ulichofanya?
Watu hawajui umuhimu wa viwanda unaongelea viwanda mtu anaongelea mambo ya uwaniTukija kwenye indistrial application it different. Wateja wanataka kitu wenye uhakika nacho.
Viwanda ni muhim aisee, mass producing that tena yenye quality si sawa na kutengenezea uwani
Kama na wewe huna, ulipo niuliza mimi nina kipi cha maana nilichofanya hapa duniani ulitegemea nikwambie nimefanya nini?Mimi sina
Sijafanya kitu.Wewe unayetukana waafrika huna kipi cha maana ulichofanya
Hapa ni public forum kila mtu yupo huru kutumia jina lolote atakalo.Ungekua na akili hata tone usingeficha kwenye jina bandia ungetumia jina lako halisi kama mimi navyotumia
Tumia jina lako halisi kwanini unajificha kwenye jina bandiaKama na wewe huna, ulipo niuliza mimi nina kipi cha maana nilichofanya hapa duniani ulitegemea nikwambie nimefanya nini?
Sijafanya kitu.
Lakini Je, ni uongo kwamba waafrika hakuna tunachoweza kuzalisha wenyewe bila kuhitaji msaada wa kiteknolojia na kiutaalamu kutoka kwa wazungu na wachina?
Hapa ni public forum kila mtu yupo huru kutumia jina lolote atakalo.
Wewe kutumia jina lako halisi sio sheria kwamba kila mtu atumie jina lake halisi.
Una elewa wewe?
Ni kweli wakati ndo sasa hatasisi tunawezaKila siku tunajiuliza tu maswali, umefika wakati sasa tuanze kuleta na majibu yake...
Nakumbuka sana shule ukiulizwa what are the factors for African underdevelopment utaskia
-lack of technology
-poor leadership
-poor education system
-poor infrastructure
-low self esteem
-poor historical background
-inadequate land use
-misuse of natural resource
-presence of enough puppets 😂
-illiterate leaders
-civil wars
-corruption and nepotism
-Too much dependency
-Unskilled Labour
-Local Beliefs
-Almost empty implementations
-Lack of patriotism
Point ni nyingi hadi nachoka kuandika
Haya na mengine mengi ni maswali ambayo yanatukumba sisi waafrica sasa ni muda tulete majibu ya maswali haya sio tu kila siku kubweka bweka hatusaidii kitu.
You need mental rehabilitation therapy.Tumia jina lako halisi kwanini unajificha kwenye jina bandia
Kama unajiamini kweli tumia jina lako halisi kutukana na kufanyia watu dharau
Tooth pick siyo tooth stick,fungua kiwanda,unamsubiri nani afungue!?Umeenda mbali huko mkuu. Kwann usijiulize kwann Tooth stick tuna import wakati miti na kula kitu kipi hapa hapa?
Wewe unayetumia jina bandia kutukana watu ndo unahitaji mental rehabilitation therapyYou need mental rehabilitation therapy.
Kwa hiyo umeniona tu mimi ndio ninatumia jina bandia?
Tangu umejiunga jamii forums, infropreneur ndio jina bandia tu, ambalo umewahi kuliona?
Sio kila mtu anaweza kufungua kiwanda utakua unamuoneaTooth pick siyo tooth stick,fungua kiwanda,unamsubiri nani afungue!?
Huwezi tumia technology za zamani ilihali kuna technologia za kisasa yaani utumie mbinu za kijima utengeneza chuma ilihali kuna technologia za sasa uoni kwamba lazima ushindwe