Kwanini 'charger' za simu hazitengenezwi Tanzania badala yake tuna-import

Malaya ni mama yako aliyekuzaa wakati akidanga.

That's why you vomit nonsense from your rotten brain 🧠.
Andaa uzi wako wa kuporomosha matusi unaharibu uzi
Alafu hakunaga tuzo ya matusi, kutukana sio sifa au ujanja au akili
 
Andaa uzi wako wa kuporomosha matusi unaharibu uzi
Alafu hakunaga tuzo ya matusi, kutukana sio sifa au ujanja au akili
Hapa ni public forum kila mtu anaweza kuchangia chochote.

Kama hutaki uzi wako uchangiwe, Usingeuleta hapa.

Ukishaweka uzi wako hapa public forum, kila mtu ana uwezo wa kuuona, kuchangia, kutoa maoni na kukosoa.

Kama hutaki uzi wako kukosolewa, usinge jihangaisha kuandika hapa.

Una elewa?
 
huwezi kushindana na technology ya kisasa bila sera bora za nchi yenu,...
 
Yafuatayo ni majibu kwanini chargi za simu za aina tofauti-tofauti hazitengenezwi Tanzania majibu yapo kwenye video


Zikitengenezwa, bongo, maana, yake ajira kwa, vijana, na, na ajira maana yake nguvu ya, uchumi kwa vijana, maana yake jamii inaweza ikawa na kina Soka, Lisu, Mdude, zito, wengi ambao wataisumbua ccm, na ccm haitaki, inaogopa nchi kuwa na vijana wenye elimu na nguvu ya kiuchumi,maana, watashindwa kuwafanya machawa,
 
Toto la msagaji 😀
Coitus interruptus could have prevented this rotten mind.

Your father ejaculated rotten sperms which brought a bogus into the world.

Abortion was better than your birth.
 
Dunia inabadilika
 
Ni ngumu kwa sababu hivyo vitu vyote leo hii havizalishwi afrika

Kuwa na kiwanda si lazima malighafi zote uwe nazo kwenye nchi yako...

Unaweza ukaprint hizo circuit boards nje na vitu vingine uka-assemble bongo...
 
Kuwa na kiwanda si lazima malighafi zote uwe nazo kwenye nchi yako...

Unaweza ukaprint hizo circuit boards nje na vitu vingine uka-assemble bongo...
Ukifanya hivyo utafeli
Mfano alitumua staili hiyo hiyo ya kufanya contract manufacturing China miaka ya 80 mpaka 90 kuja kushtuka kila kitu anachukua kutoka China kaja kushtuka ameanza kuweka matarrifs

Usipokuwa na smelter na refinery lazima ufeli ule ndo msingi wa viwanda
 
Umeenda mbali huko mkuu. Kwann usijiulize kwann Tooth stick tuna import wakati miti na kula kitu kipi hapa hapa?
2019 nilikuwa nina wazo la kufungua kiwanda cha Toothpick Iringa.
Nilitafuta sanaa mtaji kwenye ma bank ila nilikwama.

Sasa hivi natafuta tena mtaji kwa ajili ya kiwanda cha idea nyengine.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mbona uzi umegeuka umekua uwanja wa watu kutukanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…