Kwanini 'charger' za simu hazitengenezwi Tanzania badala yake tuna-import

CCM nao walaumiwe hapa👿
 
Wazazi wako wamezaa taahira , hauna kazi ya kufanya unatembelea mgongo wa dini ...Hanithi mkubwa wwe , hamna unachojua kazi kushobokea watu kwa ujinga wako.
Mkuu nilikua nakuheshimu ila umeonyesha viwango vya chini sana vya tafakari ila nitakuheshimu tu
 
Mpaka sahivi umeshauharibu uzi wangu kwa mdomo wako mchafu jifunze ustaarabu wengine hatujui kutukana

Umepata faida gani au kitu gani kimeongezeka baada ya kutukania wazazi wa watu wengine jifunze ustaarabu
Hajaharibu popote ila wewe una hulka za kutaka mtu achangie unavyotaka wewe🤔
 
Enzi za mwalimu tulikua tunatengeneza mabetrii bora kabisa ya National

Kwa bahati mbaya sana Watz tunapenda viwanda vya ku process vyakula zaidi

Mi natafuta muwekezaji tuanzishe kiwanda cha vichokonoa meno na masikio

Nimeshawapata wawekezaji na tunakwenda vizuri na michakato sema serikali inazingua sana.... wakitumiwa email za ufafanuzi hawajibu hadi uwakumbushe zaidi ya mara tano
 
Mpaka sahivi umeshauharibu uzi wangu kwa mdomo wako mchafu jifunze ustaarabu wengine hatujui kutukana

Umepata faida gani au kitu gani kimeongezeka baada ya kutukania wazazi wa watu wengine jifunze ustaarabu
Sijawahi kumtukana mtu ambaye hajanianza na amekuja kwa hoja.

Huyo member Tanganian ndio ameanza kunitukana kwa kuniita mimi kenge.

And once anyone insult me, I revenge harshly.
 
Ukiweka uzi humu sio mali yako tena mkuu,kabla ya kuendelea unatakiwa ujitambue hilo.
Kufungua uzi ni bure kwanini uende kwenye nyuzi za watu na kuanza kuporomosha matusi wewe unaona ni sahii basi kiwango chako cha ustaarabu kipo chini sana
 
Sijawahi kumtukana mtu ambaye hajanianza na amekuja kwa hoja.

Huyo member Tanganian ndio ameanza kunitukana kwa kuniita mimi kenge.

And once anyone insult me, I revenge harshly.
Alivyokuita Kenge imekupunguzia nini na ulivyomtukana ni kipi kimeongezeka kwenye maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…