Kwanini Chato iwe Mkoa kutoka kwenye Mkoa mchanga wa Geita ulioundwa 2012?

Nina mashaka na wilaya yangu ya kakonko na lugha yangu ya kiha, je kama Wilaya itaendelea kutumia lugha yake kama kawaida au itakuwaje apo
 
Kwa Nini Basi enzi ya utawala wa JK bukombe ilikatwa kuwa wilaya kutoka kahama na bukombe ikazaa mbogwe kipindi Cha JK jiulize
 
Binafsi na mimi sipendezwi na makao ya mkoa kuwa chato, nyakanazi ndo pazuri kabisa lakini kama imetokea pakawa chato waache kakonko wajumuishwe maana ni afadhali kuliko kwenda Kigoma
Tatizo wanasiasa wakipania kupata kitu chao ni rahisi sana kuwatwisha mzigo wananchi bila kusikiliza hoja zao. Vikao vya RCC mkoa wa Geita vina mamlaka ya kuamua kuumega mkoa mwingine?..Ni sharti waombe na wakubaliwe kwanza!!.. Kwani vikao vya RCC mkoa wa Kigoma vilikubali Kakonko imegwe kwa kuwa iko mbali na makao makuu ya mkoa?..!. Wakoloni waliigawa Afrika kwa mtindo huo na matokeo yake tunayaona hadi leo.
 
Kwanini hukunitag?
Basi si comment, na hi comment naifuta, ila nilikuwa na madini Kama yooote.... Waçha yakae bandani yapigwe na vumbi
 
Kinachoshangaza sana, ina maana hiyo RCC ya Geita, hakuna mwenye akili japo ya average hata mmoja?
 
Kwanini hukunitag?
Basi si comment, na hi comment naifuta, ila nilikuwa na madini Kama yooote.... Waçha yakae bandani yapigwe na vumbi
Dah itakuwa kweli umehuzunika hadi umegonga dislike.
Basi shusha walau madini kidogo.
 
Kama kuna kiongozi atabariki Chato uwe Mkoa kwa kusapoti uwendawazimu wa Magufuli aliotufanyia kwa miaka 5 basi itabidi tukampime akili.

Atakuwa mgonjwa kuliko alivyokuwa Kichaa tuliyemfukia March 27, 2012 pale kijijini Chato
Hata mimi nashangaa ngoja tuone hii kitu wanavyo fanya.
 
Shukurani sana mkuu sasa kazi iwe kwao sisi tusubiri kama watatuelewa au Lah!!
 
Mkoa hautengwi kwa kutazama ukubwa ma ardhi. Ingekua ukubwa wa ardhi Dar Es Salaam ingejua wilaya tu.
Hata kama ni population hivi chato ya kuifikia Moro? Hata kama ni issue ya mapato bado tu.
Hapa kuna vitu vyao na hii ni tafsiri nzuri ya kwa nini chato ilipewa kipaumbele zaidi ya mkoa wenyewe wa Geita.
 
Ikiwa mkoa au isipokua mkoa inakuathiri popote mkuu?
 
Ikiwa mkoa au isipokua mkoa inakuathiri popote mkuu?
Ndiyo mkuu.
Hapo serikali itaingia gharama kubwa kuanza kujenga mkoani chato na mkoani Geita. Hivyo tutaporomoka pakubwa au kurudi kwenye upokeaji misaada
 
Mkuu wa mkoa anakama siku 10 mkoa hapo ila anajifanya kujua mambo.
Ngoja tusubiri akina Msukuma waliongelee hili
 

..suluhisho ni kupeleka huduma Kakonko, Kibondo, na kwingine ambako wananchi wako mbali na makao makuu ya mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…