Kwanini chupi za kike zinauzwa bei rahisi kuliko za kiume?

boxer inafunika eneo kubwa nyingine hadi mapajani kwahiyo inatumia kitambaa kikubwa, ila chupi za kike zinawaziba sehemu ndogoo na haitumii kitambaa kikubwa
 
Maelezo yamejitosheleza mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo mana tunavaa boxer 1 miezi mitatu
 
Nunua uvae
Sent using Jamii Forums mobile
 
Mdada mmoja anaweza kua na chupi 10. Wakaka nyie mkiwa nazo nyingi basi ni 2 au 3. Hata watengenezaji wanafidia hasara kwa kuweka bei kubwa

Sent From Galaxy S9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…