unaweza kununua ukavivaa,kwani nani anakuona mkuu?Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?
Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera.
Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.
Hapana jamani, inategemea ananunua chupi gani na ananunulia wapi.Kuumbe mi napigwaga sana! naombwaga pesa ya kunulia pichu natoa mpunga mrefu kumbe pichu ni 1000 tu.
Nimeelewa sasa, kudadekii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui Kama Kuna chupi zinaanza na 8000 moja na kuendeleaHapana jamani, inategemea ananunua chupi gani na ananunulia wapi.
Si ndio hapo sasa!!
Vaeni zetu basi, cha msingi si mazaga yashikiliwe au?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] labda wavae taiti
Kinachofanya ipande bei ni ile ac tu mkuu. Ila kiuhaliasia chupi za kike sio bei kubwa sanaLabda chupi za 1000/= zinauzwa huko kwenu KwaMtogole ,unadhani wote humu shopping tunafanya Karume??Jipime kwanza kabla ujaleta Uzi,hii inaonyesha unaishi mitaa gani.
Nenda pale Mlimani City na baby wako ukamnunulie chupi ya 1000/= kama haujafukuzwa na wale polisi ukawekwe lockup!
Mm huwa namnunulia chupi shemeji yako pale Mcity kitu kama 50,000/= na sidiria pia zina range hapo.
Ss kama chupi 50,000/= suruali unajuha nanunua kwa bei gani??Kwa nn aseme chupi 1000/= haoni kama ana reflect yy wa wapi??Kinachofanya ipande bei ni ile ac tu mkuu. Ila kiuhaliasia chupi za kike sio bei kubwa sana
Sio Air Condition ndugu ila Quality ni tofauti pia mitumba ina grade zake kama haujajua unaweza nunua kiatu cha mtumba au nguo ya mtumba huko Karume mwenzako akanunua pale Mcity akatimbia mpk akawarithisha na wajukuu wake wakati mtumba wa karume hata mwaka hautoboi ,Kinachofanya ipande bei ni ile ac tu mkuu. Ila kiuhaliasia chupi za kike sio bei kubwa sana
Sasa pale kwenye G string ndio wanawake wanauziwa nini? Nafuu si bora wajifunge hata nyuzi(kamba) za viatu kuliko kurudi nyumbani unaliona tako kama limevaa ndala![emoji2817][emoji2817][emoji2817]G-String nyingi hivyo bei chee
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]wananunua bei chee ila mwanaume kuja kuivua lazima utoboke
Ni shidaa mkuu,unawez Muonga hela ya kununua dozen kama 10 iv xo hawana hasara[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ "ᴷⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ ᵇᵉᵗᵗᵉʳ"
Dawa yake nunua dozen mpelekee, ubaya wake zingine zinakuwa ndogo au mkubwa zaidi.Kuumbe mi napigwaga sana! naombwaga pesa ya kunulia pichu natoa mpunga mrefu kumbe pichu ni 1000 tu.
Nimeelewa sasa, kudadekii.
Sent using Jamii Forums mobile app