Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

Upo sahihi. Isipokuwa mara nyingi huko mikoani i.e Moro wanafyatua tofali ambazo dimensions zake ni almost equally.
Ukitaka kuwin labda uchonge vibao vya dimensions utakazo mwenyewe kisha uwatafute hao vijana wazoefu wakufyatulie kwa bei ya mapatano.
 
Ndio kinachofanyika mkuu, kwani kibao cha elfu 10 ni big issue?
 
Bei inatofautiana kulingana na sizes na inategemea imechomwa na mashine za umeme au tanuru la kuni
 
Utamaduni ndio Kila kitu
Dar Haina huo utamaduni na pwani yake.
Udongo ungeweza kutolewa Mwanambaya, Tabata, Mtoni Ulaya, Kisarawe au Mkuranga huko.
Hili ndo jibu sasa. Watu wa pwani utamadun na teknolojia ya uchomaji hawajaitumia kabla. Huo utamadun wa kuchoma tofali haukuwepo. Mana nyumba zao nyingi za asili ni za udongo lakin haujachomwa
 
Hili ndo jibu sasa. Watu wa pwani utamadun na teknolojia ya uchomaji hawajaitumia kabla. Huo utamadun wa kuchoma tofali haukuwepo. Mana nyumba zao nyingi za asili ni za udongo lakin haujachomwa
Kabisa nakumbuka miaka ya 2000 mwanzoni sehemu za Chanika na mbagala kulikuwa na nyumba za udongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…