Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
IMG-20231025-WA0002.jpeg

Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
 
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
January hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
 
Dodoma kuna laana, Dodoma kuna ukoma, Dodoma kuna trachoma (upofu mbaya sana unaosababishwa na nzi, ie nzi ni umasikini, nzi ni uchafu, nzi ni laana nyingine). Dodoma kuna ukame, Dodoma kuna uhaba wa akili na ukichaa.

Hiyo ndiyo ardhi tuliyoamua yawe makao makuu ya nchi yetu.
 
Dodoma Kuna Ndugai, Dodoma Kuna Kibajaj
 
Mikoa ya pwani yote ipo hivyo
Zanzibar
Morogoro
Lindi ,Mtwara
DSM

Sunset inaanza 06:30PM na Sunrise 06:00Am wataalamu wa Georgraphy wataelezea vzr the reason behind.
 
Huku kwetu ndo bado kabisa! Yaani ndo kwanza nimetoka kumwambia wife anisogelee ili tukwichiane, daa kachomoa! 'Eti kaniambia hebu mwone'
Nikaona nijifungulie jamiiforum.
.....
Wakati huu naimba kimoyomoyo ule wimbo wa wanaume tumeumbwa mateso, mateso kuhangaika......
 
Back
Top Bottom