Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
YapSa sii Ndioo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YapSa sii Ndioo!!
Thank youMorning to you JamiiForums Great Thinker. Hopefully you had a Wonderful night and you're fine this morning. I wish you a good day and all the best.
Ukoma ni laana.Hamna laana yoyote hapo ,hii nchi TANZANIA nikwamba haujatembea lakini mikoa mingi ukiitoa dsm bado ipo nyuma kwa kila kitu
MAISHA hayana laana Wala mikosi ni swala la kutafsiri Mambo au vitu.Ukoma ni laana.
Jiografia Darasa la Saba ama la Sita ,wanafinfisha , hebu karudie kidogo kanuni ya kutafuta , unopokwenda mashariki muda upo mbele I
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
You're Welcome...!!Thank you
Shule ni muhimu lakini kusoma ni muhimu zaidi.
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Kwamba Dar kunapambazuka mapema kuliko Zanzibar!!!???
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Linaamkia ZanzibarJua linalala Kigoma linaamkia Dar es salaam