Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

Huku kwetu ndo bado kabisa! Yaani ndo kwanza nimetoka kumwambia wife anisogelee ili tukwichiane, daa kachonoa! 'Eti kanismbia hebu mwone'
Nikaona nijifungulie jamiiforum.
Njoo kwangu, unachotaka nitakupa. Angwisa by Caz T
 
Dodoma kuna laana, Dodoma kuna ukoma, Dodoma kuna trachoma (upofu mbaya sana unaosababishwa na nzi, ie nzi ni umasikini, nzi ni uchafu, nzi ni laana nyingine). Dodoma kuna ukame, Dodoma kuna uhaba wa akili na ukichaa.

Hiyo ndiyo ardhi tuliyoamua yawe makao makuu ya nchi yetu.

Hamna laana yoyote hapo ,hii nchi TANZANIA nikwamba haujatembea lakini mikoa mingi ukiitoa dsm bado ipo nyuma kwa kila kitu
 
Back
Top Bottom