Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

January hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
....ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
 
Rwanda tunawatangulia lisaa moja,, Uganda ndo tuko nao sawa,

Nasikia nchi moja kuwa masaa tofauti hawaipendelei sana sijui kwanini ila kuna tofauti kubwa sana wa mikoa ya pwani na huko magharibi mwa nchi,
Ooh kumbe wako gmt+2. Mkuu hebu fikiria mikoa mbalimbali ingekuwa na saa tofauti huo mvurugano.
Tofauti yake ni ndogo ndio maana nadhani wakaona hakuna haja ya kuweka different time zones. Kwa china ni kweli ilipaswa kuwa na time zones tofauti maana ile nchi kubwa kama ka continemt fulani lakini mao akaona hakuna haja, ni beijing time itatumika.
Mostly nafanya kazi masaa ya CET
 
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Hii imenishangaza sana na ni tangu mwezi huu uanze ndio kumekuwa hivi hii picha nimepiga wiki iliyopita saa 11 na nusu asubuhi wakati naekekea ku swali na sahizi naandika comment hii ni saa 12 na dk 24 asubuhi ki jua nikikali kabisa yaani
IMG_20231020_053847_587.jpg
 
M
Kiuhalisia dar iko East zaidi kuliko mikoa mingine hivyo inatangulia kuona jua na giza linaingia mapema pia kuliko mikoa mingine.
Dar saa 12 na nusu hivi kigiza kishaanza wakati ukiwa mkoa kama kagera bado kabisa kuna jua.
Mikoa ya magharibi ilitakiwa itumie masaa ya Burundi na Rwanda.
 
January hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
AISEE WE JAMAA NI KIAZI TENA KIAZI KWER KWER, NA WALIOKUPA LIKES KAMA HAWAJAFANYA HVO KWA KEJELI NAO NI VIAZI
 
January hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.

What is an equinox?

An equinox is one of the two times of the year when the amount of daylight and nighttime hours are just about of equal length. The two equinoxes occur around March 20–21 and September 22–23, marking the onset of both spring and autumn.

During the equinox, the sun crosses the plane of Earth’s equator, making nighttime and daytime (roughly) equal length all over the world. In the Northern Hemisphere, the spring equinox, or vernal equinox, occurs around March 21, when the sun moves northward across the celestial equator. The autumnal equinox occurs around September 22 or 23, when the sun crosses the celestial equator going south. In the Southern Hemisphere, it’s the reverse. For this reason, the terms March equinox and September equinox are sometimes used to avoid a Northern Hemisphere bias.

Contrary to popular usage, an equinox doesn’t last for a full 24 hours. Technically speaking, an equinox is one of the two specific moments in time when the sun is exactly above the celestial equator. The word equinox can also refer to the position of the sun at this moment.

Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Jibu hili hapa. Pia haya mambo ufundishwa kwenye Geography!

Ni tofauti ya nyuzi kati ya dodoma na dar. Dar iko mashariki zaidi na inawahi kuliona jua. Hata kuzama kwa jua dar inawahi kuona giza wakati dodoma bado jua linaonekana. Hayo ni masuala ya kijiogiafia
Kama kuna mtu hajui hili suala na yupo Jf bhasi bora afute account tu arudi facebook
 
January hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
Mwana JF ulietoa like hapa niambie Umekejeli, Umempongeza kwa kutumia muda wake kuandika, Unamuogopa Genta, Au wewe ni kiazi kama yeye...

Lakini vile vile Japo kwa asilimia ndogo(by nature huyu jamaa ni Empty na kua mkweli leo nilishashangaa Genta kuandika fact ya kisayansi, nilishajiandaa kumpa like, nafika mwisho nakutana na Genta yule yule nimjuaye.)
Pengine kawachora na nyie mlivyo mapopona mkajaa,

Hiki kitu alichoandika nilivyoona likes na sioni anayekosoa ikabidi nipanguse uso niamke nikae kitandani nikahisi labda mimi nina wenge...
 
January hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.

Mkuu hebu rudia kusoma tena nyanga zako, naona kama umegeuza hapo kwenye muda wa jua la utosi...

Ili kuelewa nilichoandika zingatia muda wa joto kali na baridi kwa Tanzania...

Kwa nchi zilizopo chini ya Ikweta kama Tanzania, kukiwa na baridi maana yake jua la utosi lipo kaskazini (miezi ya baridi naamini unaijua), na kukiwa na joto maana yake jua la utosi lipo kusini (miezi ya joto nadhani unaijua ambayo ni kuanzia miezi hii kuendelea)...

Hata hivyo ukiavhana na hilo, mawio na machweo ya jua hutegemea longitudes (how further west or east) na sio latitude (being north or south of equator)...

Eneo lilipo mashariki dhidi ya eneo jingine kijiografia litawahi kuona kupambazuka kwa jua zaidi ya eneo lililo magharibi, na pia litaanza kuona giza kuliko eneo lilipo magharibi...
 
DAR kunawahi kukucha ili watu waamke haraka kwenda kuitafutia serikali mapato nyie wengine endeleeni kulala Tu muendeleze umaskini
 
kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
Hapa huchelewa kutoka au linawahi kutoka na kuzama pia?!
Nafikiri linawahi kutoka na kuzama pia!
Ila miye si mjuzi wa mambo haya.
 
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.

Hii ni elimu ya jiografia kama sijakosea kwa mitaala yetu ya zamani tulifunzwa darasa la nne au tano...

Tukairudia tena tukiwa sekondari O-Level ya kwamba mashariki au magharibi huamua eneo lipi lianze kupata mwanga wa jua kabla ya lingine...

Hii ndio dhana pia inayotumika kuamua masaa ya nchi na nchi, mathalani wakati huu niandikavyo hapa nchini China ambayo ipo mashariki ya mbali sasa hivi ni saa 5 na dk 41 asubuhi, wakati Tanzania iliyo magharibi ya China ni saa 12 na dk 41 asubuhi
 
Kama kuna mtu hajui hili suala na yupo Jf bhasi bora afute account tu arudi facebook
sio nyuzi za humu jf tunazoita thread, acha dharau, ni nyuzi za longitudo. Unataka ujibiwe vipi wakati neme conclude kuwa hayo ni mambo ya jiogiafia? Kama vipi waosome hao walioandika kwa kinagaubaga. Ulitaka ninakili kitabu kizima ndio ujue najua kwa nini jua huwa kuchomoza mapema dar? Eti sijui na nipo jf nirudi fb!
 
Mh! Mm nikiwa Kahama kunachelewa kukucha kulko ninapokuwa Dodoma ,sasa tena Dar kunawahi kupambazuka kulko Dodoma kha!
 
Dodoma kuna laana, Dodoma kuna ukoma, Dodoma kuna trachoma (upofu mbaya sana unaosababishwa na nzi, ie nzi ni umasikini, nzi ni uchafu, nzi ni laana nyingine). Dodoma kuna ukame, Dodoma kuna uhaba wa akili na ukichaa.

Hiyo ndiyo ardhi tuliyoamua yawe makao makuu ya nchi yetu.
Sa sii Ndioo!!
 
Back
Top Bottom