Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoa umetoa omba omba vinara,tukianza na yule mkuu wao Late Matonya.Dodoma hadi tembo wakipita wanadidimia na kuzama ardhini. IDODOMYA
Kiuhalisia dar iko East zaidi kuliko mikoa mingine hivyo inatangulia kuona jua na giza linaingia mapema pia kuliko mikoa mingine.
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Machangu wanafungua biashara mapema.. the early bird 🐦......Kiuhalisia dar iko East zaidi kuliko mikoa mingine hivyo inatangulia kuona jua na giza linaingia mapema pia kuliko mikoa mingine.
Dar saa 12 na nusu hivi kigiza kishaanza wakati ukiwa mkoa kama kagera bado kabisa kuna jua.
Mwezi Disemba Ukiwa mgeni Mtwara unaweza amka saa 10:30 alfajiri na ukajua ni saa 1 asubuhi, yaani kweupee unaokota hata sindano kwenye mchangaMikoa ya pwani yote ipo hivyo
Zanzibar
Morogoro
Lindi ,Mtwara
DSM
Sunset inaanza 06:30PM na Sunrise 06:00Am wataalamu wa Georgraphy wataelezea vzr the reason behind.
jua linazama saa ngapi?Mwezi Disemba Ukiwa mgeni Mtwara unaweza amka saa 10:30 alfajiri na ukajua ni saa 1 asubuhi, yaani kweupee unaokota hata sindano kwenye mchanga
uko sahihi kabisa.Yani kama kagera na kigoma inatakiwa watumie muda wa Rwanda au Burundi maana mida hii huko ni giza totoro jioni saa moja na robo ndo jua linazama
Mikataba inashuhudiwa na wajinga sana hata abc za jiografia hayajui. Sasa ukiambiwa USA ni saa sita usiku utakubali?
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Dar es Salaam bandari salama. Hamna usalama kwenye giza. Ili uwe salama ni lazima uwepo nuruni. Dar ina upako na utukufu na baraka tele
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Saa 12:15 jioni inakua kama saa 2 usiku hivi..kweusijua linazama saa ngapi?
Ngara na Kyelwa sio bongo kwa kweliuko sahihi kabisa.
Mkuu haya mambo huwa tu ni makubaliano ya kuwa na time zone ianyofanana. Hata Rwanda na Uganda madhani tuko time zone ile ile gmt+3 so masaa yetu yanafanana no matter huku kuna giza huku mwanga.Yani kama kagera na kigoma inatakiwa watumie muda wa Rwanda au Burundi maana mida hii huko ni giza totoro jioni saa moja na robo ndo jua linazama
😂 😂 😂 😂Mkoa umetoa omba omba vinara,tukianza na yule mkuu wao Late Matonya.
Dar
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Jibu ambalo ni rahisi kijiografia ni kwa sababu ya
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu
Rwanda tunawatangulia lisaa moja,, Uganda ndo tuko nao sawa,Mkuu haya mambo huwa tu ni makubaliano ya kuwa ni time zone ianyofanana. Hata Rwanda na Uganda madhani tuko time zone ile ile gmt+3 so masaa yetu yanafanana no matter huku kuna giza huku mwanga.
China ilikuwa na time zones zaidi ya tatu. Yani beijing inakuwa saa fulani sehemu nyingine saa fulani. Serikali ikaona huu ufala, ikasema sehemu zote zitafuata masaa ya beijing. Haijalishi uliko ni giza au mchana, kama beijing ni saa moja asubuhi basi hata huko ni saa moja asubuhi kwisha kazi.
Ni kinyume chake. Jua huwa ikweta mwezi wa tatu na wa tisa. Mwezi wa kumi na mbili huwa kusini kabisa ya ikweta liwezavyo. Mwezi wa sita huwa kaskazini kabisa ya Ikweta liwezavyo.January hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
Ukivuka Burundi hapo ndo noma ni usiku wa sa kumi na ni giza kwelikweliNipo hapa Kasulu, nipo kwenye mkutano wa ACT Wazalendo ni Giza kabisa muda huu saa 05:55