....ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.January hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
Hili liko kwenye jiografia ya shule ya msingi.
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Ooh kumbe wako gmt+2. Mkuu hebu fikiria mikoa mbalimbali ingekuwa na saa tofauti huo mvurugano.Rwanda tunawatangulia lisaa moja,, Uganda ndo tuko nao sawa,
Nasikia nchi moja kuwa masaa tofauti hawaipendelei sana sijui kwanini ila kuna tofauti kubwa sana wa mikoa ya pwani na huko magharibi mwa nchi,
Hii imenishangaza sana na ni tangu mwezi huu uanze ndio kumekuwa hivi hii picha nimepiga wiki iliyopita saa 11 na nusu asubuhi wakati naekekea ku swali na sahizi naandika comment hii ni saa 12 na dk 24 asubuhi ki jua nikikali kabisa yaani
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Mikoa ya magharibi ilitakiwa itumie masaa ya Burundi na Rwanda.Kiuhalisia dar iko East zaidi kuliko mikoa mingine hivyo inatangulia kuona jua na giza linaingia mapema pia kuliko mikoa mingine.
Dar saa 12 na nusu hivi kigiza kishaanza wakati ukiwa mkoa kama kagera bado kabisa kuna jua.
AISEE WE JAMAA NI KIAZI TENA KIAZI KWER KWER, NA WALIOKUPA LIKES KAMA HAWAJAFANYA HVO KWA KEJELI NAO NI VIAZIJanuary hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
January hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
Jibu hili hapa. Pia haya mambo ufundishwa kwenye Geography!
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Kama kuna mtu hajui hili suala na yupo Jf bhasi bora afute account tu arudi facebookNi tofauti ya nyuzi kati ya dodoma na dar. Dar iko mashariki zaidi na inawahi kuliona jua. Hata kuzama kwa jua dar inawahi kuona giza wakati dodoma bado jua linaonekana. Hayo ni masuala ya kijiogiafia
Mwana JF ulietoa like hapa niambie Umekejeli, Umempongeza kwa kutumia muda wake kuandika, Unamuogopa Genta, Au wewe ni kiazi kama yeye...January hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
January hadi June jua huwa linakuwa Kusini mwa Ikweta hivyo Dar es Salaam jua huwa linachelewa kutoka na hata kuzama pia, ila kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
Hapa huchelewa kutoka au linawahi kutoka na kuzama pia?!kuanzia July hadi Desemba Jua huwa linakuwa Kaskazini mwa Ikweta ( kwa Latitude ) hivyo Dar es Salaam Jua huchelewa kutoka ila linawahi Kuzama.
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Hiyo Bandari ambayo unasema imeuzwa,wameiuza kwa bei gani?
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
sio nyuzi za humu jf tunazoita thread, acha dharau, ni nyuzi za longitudo. Unataka ujibiwe vipi wakati neme conclude kuwa hayo ni mambo ya jiogiafia? Kama vipi waosome hao walioandika kwa kinagaubaga. Ulitaka ninakili kitabu kizima ndio ujue najua kwa nini jua huwa kuchomoza mapema dar? Eti sijui na nipo jf nirudi fb!Kama kuna mtu hajui hili suala na yupo Jf bhasi bora afute account tu arudi facebook
Kwanini Dar ikiwa mchana Marekani ni giza?
Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
Sa sii Ndioo!!Dodoma kuna laana, Dodoma kuna ukoma, Dodoma kuna trachoma (upofu mbaya sana unaosababishwa na nzi, ie nzi ni umasikini, nzi ni uchafu, nzi ni laana nyingine). Dodoma kuna ukame, Dodoma kuna uhaba wa akili na ukichaa.
Hiyo ndiyo ardhi tuliyoamua yawe makao makuu ya nchi yetu.