Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

Ukoma ni laana.
MAISHA hayana laana Wala mikosi ni swala la kutafsiri Mambo au vitu.

Kitu unachoona kwako ni laana kwa Mwingine ni baraka na Unachoona ni mkosi kwa Mwingine ni BAHATI.

akili inaweza Kucheza na wewe kupitia IMANI uliyosikia kutoka kwa watu waliokuzunguka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…