Jambo hapa kwetu ni kukosa vipaumbele vya kitaifa, fikiria hakuna upungufu wa mvua umeme shida, itakuwaje Kuna upungufu wa mvua hapo kwenye umeme, je vipi kuhusu maji ambayo kwetu hata kama mvua inanyesha watu hawana maji safi na salama. Pindi tukiamua Kwa dhati kama taifa, kuifanya siasa safi na kuuzingatia kanuni za uongozi Bora, ndio itakuwa PONA ya taifa hili.Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hyo nimeulizabili mnieleweshe
Dar kuna bahari ya hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji?....
Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hyo nimeulizabili mnieleweshe
Dar kuna bahari ya hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji?
kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo kwanini tunapoteza hela nyingi kununua mandege yasiyo na faida kwa mtanzania na tukaacha kufanya jambo la msingi kama hilo?
Unasema 'hakuna upungufu wa mvua'Jambo hapa kwetu ni kukosa vipaumbele vya kitaifa, fikiria hakuna upungufu wa mvua umeme shida, itakuwaje Kuna upungufu wa mvua hapo kwenye umeme, je vipi kuhusu maji ambayo kwetu hata kama mvua inanyesha watu hawana maji safi na salama. Pindi tukiamua Kwa dhati kama taifa, kuifanya siasa safi na kuuzingatia kanuni za uongozi Bora, ndio itakuwa PONA ya taifa hili.
Ndege hazina Faida?Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeulizabili mnieleweshe
Dar kuna bahari ya hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji?
Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo kwanini tunapoteza hela nyingi kununua mandege yasiyo na faida kwa mtanzania na tukaacha kufanya jambo la msingi kama hilo?
Hayatumiwi moja kwa moja. yanachakatwa kwanza ili kuondolewa chumvi. nchi kadhaa ikiwemo Israel wanafanya hivyoKachote baharini utumie na ukilaza wako
Nchi haijafikia huko hebu tulia, tuna maziwa na mito ya kutosha ni serikali yako tu yakiPumbafu, kama umemuelewa mleta mada lakini¿Nafikiri mwaka huu itabidi baadhi ya shughuli zinazotumia maji zithibitiwe, mfano waosha magari wengi wanatumia maji hovyo hovyo. Unakuta maji ambayo yangeosha gari hata thelathini, jamaa anatumia kwenye gari moja. Wangwekewa masharti ya kutumia vifaa vinavyonyunyiza maji kidogo au mvuke siyo kumwaga mwaga tu maji bila mpangilio.....kule south afrika walipata shida ya maji kutokana na ukame uliodumu muda mrefu ilikuwa patashika, nakumbuka kipindi hicho nilienda huko, hotelini unakutana na tangazo la kutumia maji kwa uangalifu ikiwemo kuoga chini ya dakika tatu na mara moja kwa siku.....sasa ni bora wizara ya maji kuanza kuelimisha watu kutumia maji kwa usahihi na pale tu penye uhitaji.
Zimeleta faida kiasi gani tangu zinunuliwe?Ndege hazina Faida?
Wazo a kimasikini,
Kwa hiyo huamini kwamba kuna upungufu mkubwa kwenye vyanzo vya maji, au ndo ile kenge hasikii hadi damu itoke masikioni......Nchi haijafikia huko hebu tulia, tuna maziwa na mito ya kutosha ni serikali yako tu yakiPumbafu, kama umemuelewa mleta mada lakini¿
mvua hazipo mabwaya yamepunguza majiSwali ni kwanini yaanze kukatika hivi awamu ya sita? Kwanini siyo enzi za Mwendazake?