124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
we mbwigira unajua maana ya IQ? Kile ni kipimo tu ukitaja lazima umalizie ya kiwango gani tena.Wafanya maamuzi ni vilaza, wenye akili Kama wewe wanapigwa vita huko maofisini.
Maradhi, ujinga na umasikini--Mlm JkN-
Mimi naongeza--akili mdogo(IQ) ndogo.
Ikitokea mimi nikapata nafasi ya kufanya maamuzi, cha kwanza Nita restructure utumishi, wata ajiriwa tu wenye high IQ na hao ndo watakuwa watumishi Serikalini.
Yaani hapo sawa na kusema "nitaongea na watu wenye umri." bila kufafanua umri gani