Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Sea Water Desalinization Plant
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe ni takataka kweliNdege hazina Faida?
Wazo a kimasikini,
Nakuunga mkono ninaishi huku. Huku Karina kila nyumba ina kisima na maji yake hayana chumvi hata kidogoDar es salaam ina maji kibao ardhini maendeo ya Kigamboni, Kiwanda cha maji cha Afya kinayapata huko hadi kuuza lita 1.5 kwa jero. Ni mipango tu, huwezi kuwa na jiji la watu 7m unategemea maji ya mto.
Water desalination ni gharama kubwa ndugu mtoa hoja, kutibu tatizo ni kuchimba visima na kuyaingiza maji hayo kwenye mfumo mkuu.
shilikablinajiendesha tu kwa hasara kila siku, na kwanza ndege hazina faida kwa mtanzania iwapo huduma za jamii ni hafifuZimeleta faida kiasi gani tangu zinunuliwe?
mkuu ndege na maji bora nini? yani wanashindwa kutoa bilioni 100 kutengeneza plant ya kuchakata maji ya bahari kuwa maji baridi au ndio sio kipaumbele cha wenye powerNdege hazina Faida?
Wazo a kimasikini,
ila wanatoa tirioni moja kununua ndege keshi eti ili tusizidiwe na kanchi kadogo ka rwandamkuu ndege na maji bora nini? yani wanashindwa kutoa bilioni 100 kutengeneza plant ya kuchakata maji ya bahari kuwa maji baridi au ndio sio kipaumbele cha wenye power
na chakushangaza eti wameagiza ndege nyingine nneMaamuzi yakununua midege yanafikirisha sana .... Sawa, ndege zinaweza kua na faida kwa kipindi sahihi ila sio Sasa. Ukitafakali kwa kina sababu zakununua midege ata huoni, safari za ndan hakuna sababu purchasing power ya watu na mzunguko wa pesa umeanguka kwahyo hakuna watu wengi Wana afford ndege ... Safar za nje zitachukua muda saana kuimalika sababu ya Covid pandemic ,hata zile major Airlines zina struggle abiria wachache sana na utalii umeshuka kwa kiasi kikubwa. Sasa motive ya ccm na serikal yao ni nin? Kununua ndege zikapaki kwel wakati kuna projects kibao ambazo zingerudisha pesa haraka nakugusa maisha ya wengi !!
Wavivu hao Wanadalislamu!Wanakufa kwa kiu na bahari wanayo?😂😂😂Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe.
Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji?
Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela nyingi kununua mandege yasiyo na faida kwa mtanzania na tukaacha kufanya jambo la msingi kama hilo?
au basi hizo tirioni kadhaa za kununua mandege yasiyo na tija, tungetoa maji ziwa victoria likahudumia nchi nzima hii
Nimezungumzia mazingira yakuwepo na kutokuwepo mvua.Unasema 'hakuna upungufu wa mvua'
Mvua imegoma kabisa kunyesha ndugu yangu
Likewise mito inayo feed maji Dar inatoka Morogoro, lakini Morogoro yenyewe haina maji, 😂🤣kituko ni pale wanamorogoro wakigusa hiyo mito wanatishiwa maisha na mamlaka za Dar wakati wanamorogoro ndiyo wanaotunza vyanzo vyote vya mito ya Ruvu na Wami🤣😂Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe.
Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji?
Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela nyingi kununua mandege yasiyo na faida kwa mtanzania na tukaacha kufanya jambo la msingi kama hilo?
au basi hizo tirioni kadhaa za kununua mandege yasiyo na tija, tungetoa maji ziwa victoria likahudumia nchi nzima hii
Kudadeki.Yaani wewe ni takataka kweli
Na Corona hii ndege zina faida gani? Umewahi kuambiwa kuna uhaba wa ndege Tanzania?
Swali zuri sana, kuchakata maji chumvi ni ngumu kidogo linahitaji technology ambayo sio shida na kutekeleza pia sio shida ila running costs zipo juu sababu ya process yenyewe ya kuyachakata maji chumvi. Nchi nyingi za Uarabuni wanachakata maji bahari.Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe.
Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji?
Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela nyingi kununua mandege yasiyo na faida kwa mtanzania na tukaacha kufanya jambo la msingi kama hilo?
au basi hizo tirioni kadhaa za kununua mandege yasiyo na tija, tungetoa maji ziwa victoria likahudumia nchi nzima hii
mkuu tena hii technologia sio mpya inaitwa water desalination ipo tangu karne ya nne wagiriki waliisha anza kuitumia kwa sasa duniani kuna nchi 120 zinatumia hii technologia mfano Israel, saud arabia, na marekani mfano kule san Diego technologia ya water desalination imefanya bili ya maji kuwa dola tano kwa mwezi kama elfu 12000 hivi za kitanzania kwa nyumbaWavivu hao Wanadalislamu!Wanakufa kwa kiu na bahari wanayo?😂😂😂
Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe.
Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji?
Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela nyingi kununua mandege yasiyo na faida kwa mtanzania na tukaacha kufanya jambo la msingi kama hilo?
Au basi hizo tirioni kadhaa za kununua mandege yasiyo na tija, tungetoa maji ziwa victoria likahudumia nchi nzima hii
mkuu sio garama kiivyo duniani kuna nchi 120 zinatumia iyo technology inaitwa water desalination iko kitambo toka karne ya nne huko wagiriki wamekua wakifanya hii kitu kitamboSwali zuri sana, kuchakata maji chumvi ni ngumu kidogo linahitaji technology ambayo sio shida na kutekeleza pia sio shida ila running costs zipo juu sababu ya process yenyewe ya kuyachakata maji chumvi. Nchi nyingi za Uarabuni wanachakata maji bahari.
Tatizo hawajiongezi ☹Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe.
Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji?
Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela nyingi kununua mandege yasiyo na faida kwa mtanzania na tukaacha kufanya jambo la msingi kama hilo?
Au basi hizo tirioni kadhaa za kununua mandege yasiyo na tija, tungetoa maji ziwa victoria likahudumia nchi nzima hii
Nakubaliana na wewe nilikuwa namjibu alietaka kujua ni nini kinatuzuia ila running costs sio sawa na hizi tulizo zoea huo ndio ukweli.mkuu sio garama kiivyo duniani kuna nchi 120 zinatumia iyo technology inaitwa water desalination iko kitambo toka karne ya nne huko wagiriki wamekua wakifanya hii kitu kitambo
au tungekua tunakodi hizo ndege which watu wengi duniani wanafanya hivyo ukikodisha ndege garama za service ni za mwenye ndege na kama tunavyojua ndege inaitaji service kila leo ili iwe salamaMaamuzi yakununua midege yanafikirisha sana .... Sawa, ndege zinaweza kua na faida kwa kipindi sahihi ila sio Sasa. Ukitafakali kwa kina sababu zakununua midege ata huoni, safari za ndan hakuna sababu purchasing power ya watu na mzunguko wa pesa umeanguka kwahyo hakuna watu wengi Wana afford ndege ... Safar za nje zitachukua muda saana kuimalika sababu ya Covid pandemic ,hata zile major Airlines zina struggle abiria wachache sana na utalii umeshuka kwa kiasi kikubwa. Sasa motive ya ccm na serikal yao ni nin? Kununua ndege zikapaki kwel wakati kuna projects kibao ambazo zingerudisha pesa haraka nakugusa maisha ya wengi !!