mkuu kwenye iyo process kuna products zinazalishwa kama chumvi so itauzwa kufidia garama pia watu watalipa bili ya maji kwa iyo hamna hasara zaidi ya faida kede kedeNakubaliana na wewe nilikuwa namjibu alietaka kujua ni nini kinatuzuia ila running costs sio sawa na hizi tulizo zoea huo ndio ukweli.
Sawa ila hizo products zingine ndugu sidhani zinaweza off-set running costs za mtambo wa kuoshea maji bahari, na nahisi unit cost ya maji itakuwa juu naweza fanya research na kuja na jibu sahihi.mkuu kwenye iyo process kuna products zinazalishwa kama chumvi so itauzwa kufidia garama pia watu watalipa bili ya maji kwa iyo hamna hasara zaidi ya faida kede kede
tafakari kidogo mkuu zaidi ya asilimia 70 wanaoosha magari hutumia maji ya visima walivovichimba kwa gharama zao je nao unataka wapewe water policy?Nafikiri mwaka huu itabidi baadhi ya shughuli zinazotumia maji zithibitiwe, mfano waosha magari wengi wanatumia maji hovyo hovyo. Unakuta maji ambayo yangeosha gari hata thelathini, jamaa anatumia kwenye gari moja.
Wangwekewa masharti ya kutumia vifaa vinavyonyunyiza maji kidogo au mvuke siyo kumwaga mwaga tu maji bila mpangilio.....kule south afrika walipata shida ya maji kutokana na ukame uliodumu muda mrefu ilikuwa patashika, nakumbuka kipindi hicho nilienda huko, hotelini unakutana na tangazo la kutumia maji kwa uangalifu ikiwemo kuoga chini ya dakika tatu na mara moja kwa siku.....
Sasa ni bora wizara ya maji kuanza kuelimisha watu kutumia maji kwa usahihi na pale tu penye uhitaji.
Sikutaka kuingia kwenye treatment process ya water desalination naijua vizuri ila sikujua nae wasiliana nae atanielewa therefore nikawa simple kwenye kumjibu.mkuu sio garama kiivyo duniani kuna nchi 120 zinatumia iyo technology inaitwa water desalination iko kitambo toka karne ya nne huko wagiriki wamekua wakifanya hii kitu kitambo
Peleka huko ujinga wakoKudadeki.
Endelea kwenda Magufuli stendi ukapande bus. Wapanda ndege watanajua faida.
Usije ukaniuliza faida za bus pia.
Wewe si wa kujib ni wa kukamata na kupeleka Milembe.Peleka huko ujinga wako
Nimeshapanda sana ndege mara nyingi siwezi hata kuhesabu
Na sijapanda hapa Africa tu, nishaishi miaka kibao huko ulaya
Wewe endelea na ujinga na upumbavu wako wala usinijibu mimi tena
Peleka uchoko wako huko
Maji ya dar yanategemea mto Ruvu , kiuhalisia kule mto Ruvu kiasi cha maji ni kidogo mno wanakijiji kuna baadhi ya sehem wanavuka mtu Ruvu kwa mguu , hata anagekuwepo huyo mungu wenu ,lazima mgao ungekuwepo , mto Ruvu hauna maji kwa sasa ,maana na mvua zimegoma kunyeshaSwali ni kwanini yaanze kukatika hivi awamu ya sita? Kwanini siyo enzi za Mwendazake?
Kabla ya hizo ndege kwani watu walikuwa hawapandi ndege mkuu?Kudadeki.
Endelea kwenda Magufuli stendi ukapande bus. Wapanda ndege watanajua faida.
Usije ukaniuliza faida za bus pia.
Umeanza nahauKukaa karibu na mahakama sio kujua sheria mkuu.
Na maisha jirani na msikiti hayakufanyi kuwa imamu
Hata muokota makopo chizi wa barabarani hawezi kukusupport ununue ndege Kisha uzipakiWewe si wa kujib ni wa kukamata na kupeleka Milembe.
Umejawa povu.
Tukitumia ya victoria wamisri wanalalamika, tukiyamaliza ya rufiji zanzibari itakosa mvuto wa watalii maana haitakuwa kisiwa tena maana bahari itakauka...na muungano ndo utakufaMto Rufiji unapita takribani km 150 kutoka Dar. maji yake ni mengi lakini cha ajabu yote yanaelekea baharini. nafikiri tungemaliza huduma za jamii kwamza kabla ya kurukia miradi mikubwa isiyo na tija kwa watu wengi. shule hazina vyoo na madawati wewe unajenga reli ya mwendokasi!!!!
Maji ya dar yanategemea mto Ruvu , kiuhalisia kule mto Ruvu kiasi cha maji ni kidogo mno wanakijiji kuna baadhi ya sehem wanavuka mtu Ruvu kwa mguu , hata anagekuwepo huyo mungu wenu ,lazima mgao ungekuwepo , mto Ruvu hauna maji kwa sasa ,maana na mvua zimegoma kunyesha
Kwasasa watanzania wanahitaji vitu muhimu kwanza, mambo ya ndege hayatugusi moja kwa moja watanzania, watz wanahitaji maji safi na salama, elimu bora na maisha bora, ayo mandege faida yake itaanza kuonekana miaka ya mbele sana na sio sasamkuu ndege na maji bora nini? yani wanashindwa kutoa bilioni 100 kutengeneza plant ya kuchakata maji ya bahari kuwa maji baridi au ndio sio kipaumbele cha wenye power
Alipoingia Kikwete yakaisha!Maji ya dar yanategemea mto Ruvu , kiuhalisia kule mto Ruvu kiasi cha maji ni kidogo mno wanakijiji kuna baadhi ya sehem wanavuka mtu Ruvu kwa mguu , hata anagekuwepo huyo mungu wenu ,lazima mgao ungekuwepo , mto Ruvu hauna maji kwa sasa ,maana na mvua zimegoma kunyesha
Na enzi za JK?mvua hazipo mabwaya yamepunguza maji
mkuu bahari ilivyo kubwa ha ha ha ha ha alafu global warming imeongeza kina cha bahari hadi kuna visiwa vimepotea zanzibar yenyewe kuna kipindi bahari inatapika maji yanaingia mjiniTukitumia ya victoria wamisri wanalalamika, tukiyamaliza ya rufiji zanzibari itakosa mvuto wa watalii maana haitakuwa kisiwa tena maana bahari itakauka...na muungano ndo utakufa
Inasikitisha sana kama Taifa hatuna dira ya maendeleo.Kulitakiwa kuwe na mipango ya muda mrefu na mifupi ambayo kila rais aingiaye madarakani angepaswa kutekeleza.Maamuzi yakununua midege yanafikirisha sana .... Sawa, ndege zinaweza kua na faida kwa kipindi sahihi ila sio Sasa. Ukitafakali kwa kina sababu zakununua midege ata huoni, safari za ndan hakuna sababu purchasing power ya watu na mzunguko wa pesa umeanguka kwahyo hakuna watu wengi Wana afford ndege ... Safar za nje zitachukua muda saana kuimalika sababu ya Covid pandemic ,hata zile major Airlines zina struggle abiria wachache sana na utalii umeshuka kwa kiasi kikubwa. Sasa motive ya ccm na serikal yao ni nin? Kununua ndege zikapaki kwel wakati kuna projects kibao ambazo zingerudisha pesa haraka nakugusa maisha ya wengi !!