Kwanini Dar kuna shida ya maji wakati bahari ipo hapo hapo?

we mbwigira unajua maana ya IQ? Kile ni kipimo tu ukitaja lazima umalizie ya kiwango gani tena.
Yaani hapo sawa na kusema "nitaongea na watu wenye umri." bila kufafanua umri gani
 
we mbwigira unajua maana ya IQ? Kile ni kipimo tu ukitaja lazima umalizie ya kiwango gani tena.
Yaani hapo sawa na kusema "nitaongea na watu wenye umri." bila kufafanua umri gani

We mbwigira hujui kua IQ kwenye scale Kuna high na low. Numbers hu specify tu.

Nadhani hata wewe shida ni hiyo hiyo, score yako ni below average.

Samahani lakini. Najua hukujiumba.
 
KILA MTU ANATUMIA ANACHOLIPITIA SIONI KAMA KUNA SHIDA,CHA MUHIMU WATAFUTA VYANZO VINGINE VYA KUPATA MAJI
 
We mbwigira hujui kua IQ kwenye scale Kuna high na low. Numbers hu specify tu.

Nadhani hata wewe shida ni hiyo hiyo, score yako ni below average.

Samahani lakini. Najua hukujiumba.
angalia unavyojizomea sasa unawezaje kusema hii high au low bila namba? mpuuzi wahed
 
Tatizo ni huu utawala wa kipuuzi wa CCM, kipaumbele kwao ni ile miradi yenye mirija ya kupiga pesa tu. Hawataki kabisa kumaliza tatizo.
 
Tukitumia ya victoria wamisri wanalalamika, tukiyamaliza ya rufiji zanzibari itakosa mvuto wa watalii maana haitakuwa kisiwa tena maana bahari itakauka...na muungano ndo utakufa
Yaani bahari ya Hindi ikauke😀 acha mzaha
 
Tukitumia ya victoria wamisri wanalalamika, tukiyamaliza ya rufiji zanzibari itakosa mvuto wa watalii maana haitakuwa kisiwa tena maana bahari itakauka...na muungano ndo utakufa
Mmeshaanza bangi, bahari inakaukaje?
 
Hayo ya kusema: "ghali sana" huwa naona ni propaganda za wapigaji tu.

Kuna mradi ghali sana kuzidi Sgr?

Nchi karibia nyingi za mashariki ya kati wanagonga maji ya bahari pamwe umwagiliaji.

Ninadhani hatuna nia hiyo katika vipaumbele vya kitaifa na udhaifu wa uona mbali.

Fikiria watu wanashindia kauzu, wakati tumezungukwa na bahari!

Mwaka jana nilisikia kwa mbali kuwa wana mpango wa kujenga meli za uvuvi, lakini kwa mwendo tulio nao sasa, hizo zaweza kubakia kuwa ni ndoto, tena za usiku!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabisa mkuu we fikiria watu badala ya kufikilia kumaliza mradi wa bwawa rufiji wao ndio kwanza wanafikilia kuuhujumu sasa kiongozi kama huyo atawaza kuweka plant ya water desalinization alafu eti wanasema ghali izo nchi 120 zinazotumia maji ya bahari kunywa zimefanya muujiza gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…