Ishu sio udiktekta wala demokrasia Sera, mipango na mbinu za kiuchumi ndio chagizo kubwa la maendeleo ya nchi.Unamaanisha maendeleo makubwa ndani ya Demokrasia ni yataka moyo siyo?
Bila shaka majibu yatapatikana hapa,
Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia
Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?
Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?
Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.
Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.
Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.
Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?
Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.
Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake
Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
Mkuu Duniani kote hakuna Hlo Jambo ni vyema ukachagua tu Kama unataka MAENDELEO achana NA DEMOCRASIA.. Hao ndg hawajawahi kuwa sehem moja wakaenda asilan abadani.. JPM alichagua maendeleo na uhuru(DEMOCRASIA) yenye mipaka unaona kilichotokea???Bila shaka majibu yatapatikana hapa,
Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia
Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?
Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?
Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.
Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.
Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.
Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?
Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.
Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake
Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
Ugoro mtupu.ata maana ya democrasia yenyewe hujui.kwahiyo jpm tu ndo alijenga miundombinu?bure kabisa.Mkuu Duniani kote hakuna Hlo Jambo ni vyema ukachagua tu Kama unataka MAENDELEO achana NA DEMOCRASIA.. Hao ndg hawajawahi kuwa sehem moja wakaenda asilan abadani.. JPM alichagua maendeleo na uhuru(DEMOCRASIA) yenye mipaka unaona kilichotokea???
Tulivuka kwenye kipindi kigum mno Cha corona, unaona tulivyopiga hatua kwenye miundombinu?? Unaona jinsi wizi ulivyopungua? Unaona nidham ilivyorudi??
Sasa angalia nao miez 3 mzee kapumzika... Sa iv kunamtu anasema unanijua mm ni Nan?? Wiz wako huru.. miundombn itafell hakuna pesa.. Sasa hyu JPM alizitoa wapi??
Ndo ujue Sasa maendeleo na democracy haviko sawa.. ila Kama ni DEMOCRASIA ya mipaka sawa..
Hata kwenye family yako ukiruhusu uhuru usio na mipaka utarijua jiji...
Mbona mapovu?China" the giant caged communist shithole " ndio unataka kujifananisha nayo , Huna akili , nchi ambayo wananchi wake wengi bado wanaishi below the poverty line ? , Mpuuzi mmoja
Umenitfakarisha sana mkuu, hata mimi Naamini kwenye Demokrasia yenye mipakaMkuu Duniani kote hakuna Hlo Jambo ni vyema ukachagua tu Kama unataka MAENDELEO achana NA DEMOCRASIA.. Hao ndg hawajawahi kuwa sehem moja wakaenda asilan abadani.. JPM alichagua maendeleo na uhuru(DEMOCRASIA) yenye mipaka unaona kilichotokea???
Tulivuka kwenye kipindi kigum mno Cha corona, unaona tulivyopiga hatua kwenye miundombinu?? Unaona jinsi wizi ulivyopungua? Unaona nidham ilivyorudi??
Sasa angalia nao miez 3 mzee kapumzika... Sa iv kunamtu anasema unanijua mm ni Nan?? Wiz wako huru.. miundombn itafell hakuna pesa.. Sasa hyu JPM alizitoa wapi??
Ndo ujue Sasa maendeleo na democracy haviko sawa.. ila Kama ni DEMOCRASIA ya mipaka sawa..
Hata kwenye family yako ukiruhusu uhuru usio na mipaka utarijua jiji...
Sasa, hao jamaa mbona kimaendeleo wako mbali sana kinyume kabisa na wengi wanavyoamini kwamba, Demokrasia ndiyo huleta maendeleo?China haijawahi kuwa na demokrasia hivyo unauliza kitu ambacho hakipo
Kweli anastahili sanamu, tunalazimisha legacy ya Mwendawazimu.Magufuli amejiidai kuua demokrasia na uchumi umeanguka toka 7% Hadi 4%
Kwao mujibu wa hotuba ya mama samia
Bila shaka majibu yatapatikana hapa,
Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia
Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?
Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?
Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.
Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.
Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.
Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?
Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.
Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake
Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
Sasa, hao jamaa mbona kimaendeleo wako mbali sana kinyume kabisa na wengi wanavyoamini kwamba, Demokrasia ndiyo huleta maendeleo?
Kama huifahamu historia ya China, ni vizuri ukauliza ili ufahamishwe. Miaka mingi iliyopita, China ilitawaliwa na Vikundi vya Wavamizi wababe kutoka nje ya hilo Taifa! Na hivyo vikundi vilianzisha tawala zao za kibabe na kikatili ndani ya China, zilizojulikana kama Dynasties!Bila shaka majibu yatapatikana hapa,
Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia
Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?
Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?
Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.
Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.
Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.
Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?
Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.
Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake
Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
Makala yako hii ukiiandika ukiwa ZAMBIA au SRI LANKA kwamba ufunge ndoa na china wanainchi watakukamua hadi utoke ubongo aseee. China ni bepari kuzidi neno bepari lilivyo.Bila shaka majibu yatapatikana hapa,
Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia
Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?
Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?
Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.
Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.
Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.
Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?
Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.
Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake
Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
Hivi zile 1.5 trillion zilipotea kipindi gani????Mkuu Duniani kote hakuna Hlo Jambo ni vyema ukachagua tu Kama unataka MAENDELEO achana NA DEMOCRASIA.. Hao ndg hawajawahi kuwa sehem moja wakaenda asilan abadani.. JPM alichagua maendeleo na uhuru(DEMOCRASIA) yenye mipaka unaona kilichotokea???
Tulivuka kwenye kipindi kigum mno Cha corona, unaona tulivyopiga hatua kwenye miundombinu?? Unaona jinsi wizi ulivyopungua? Unaona nidham ilivyorudi??
Sasa angalia nao miez 3 mzee kapumzika... Sa iv kunamtu anasema unanijua mm ni Nan?? Wiz wako huru.. miundombn itafell hakuna pesa.. Sasa hyu JPM alizitoa wapi??
Ndo ujue Sasa maendeleo na democracy haviko sawa.. ila Kama ni DEMOCRASIA ya mipaka sawa..
Hata kwenye family yako ukiruhusu uhuru usio na mipaka utarijua jiji...
Inawezekana ni kweli upo sahihiBila shaka majibu yatapatikana hapa,
Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia
Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?
Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?
Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.
Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.
Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.
Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?
Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.
Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake
Mungu bariki Viongozi wote Jasiri
mkuu, unadhani usipotumia maneno ya kuudhi hutaeleweka?Wewe ni bangi tu ndio inakusumbua, inaonekana hata hujui maana ya maendeleo.
Nchi wananchi wake wengi bado wanaishi kimachinga wewe unasema imeendelea. Ndio shida ya kukariri GDP kama kigezo cha kupima utajiri, siku moja ukienda China ndio utaelewa ninamaanisha nini.
Kwa nini China huwa haigundui bali huwa inaiga tu? Wanasaikolojia wanasema, mtu asiyekuwa huru, hata awe na akili namna gani, hawezi kugundua kitu. China pamoja na kuwa na watu wengi kuliko Taifa lolote, lakini haina ugunduzi. Uwezo wao umeishia kukopi.Bila shaka majibu yatapatikana hapa,