Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

Naomba kujua huyo ni muislam au aliejitolea sadaka hapo Jakaya kikwete Faiza.
 
Nchi ya Zanzibar matibabu yote kabisa ni bure kabisa , siyo hilo tu .
 
Ni ujinga kuuliza ya Zanzibar badala ya kwanza kufanya tafiti na kujuwa kwanini kwetu iwe ghali
Bila kujua idadi halisi au tayari alishaframe idadi ?
Hayo atajuwa yeye, mimi nijuavyo hiyo ni sadaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…