MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Tatizo ni kubwa kiasi gani huko Zanzibar?
By the way, hawanywi pombe kama sisi wale

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufike mahali, kwa umoja, watanganyika tuseme imetosha.Ndugu yangu , mbona hayo ni madogo!
Wakusanya kodi wa SMZ wanalipwa mishahara kutoka Hazina Dar kwa jina la TRA, ingawa makusanyo hayavuki bahari
Wazanzibar hao hao wakija bara wanatibiwa bure, tena ikibidi kwenda India wanalipiwa na JMT a.k.a Tanganyika.
Proved nakupa challenge moja, tafuta jumla ya Bajeti ya JMT, halafu uje uniulize kulikoni!
Maisha Yao yapo poa sana.bado kidogo wananchi wataanza kulipwa kama zamani Libia.Hapo kwenye " Wana maisha mazuri" endelea kujidanganya.
Sema Ccm sio WatanganyikaTufike mahali, kwa umoja, watanganyika tuseme imetosha.
Hata huko zenji ccm ndio watawala.Sema Ccm sio Watanganyika
Kwa mujibu wa Katibu wa Uenezi wa CCM Zanzibar Bw Khamis Mbeto , jitihada za Rais SSH na Mwinyi zimewezesha Zanzibar kupata 9% ya Bajeti ya Muungano kutoka kiasi cha zamani cha 4.5% ( nukuu ya Gazeti la The Citizen, December 08,2023)Maisha Yao yapo poa sana.bado kidogo wananchi wataanza kulipwa kama zamani Libia.
Kwa ruzuku Toka bara.
Wale tuliodhani wanaweza kutusaidoa kutatua huu mtanziko majibu yao ni "tunalinda katiba".Kwa mujibu wa Katibu wa Uenezi wa CCM Zanzibar Bw Khamis Mbeto , jitihada za Rais SSH na Mwinyi zimewezesha Zanzibar kupata 9% ya Bajeti ya Muungano kutoka kiasi cha zamani cha 4.5% ( nukuu ya Gazeti la The Citizen, December 08,2023)
Marais wote waliopita kiwango kilikuwa 4.5, Rais SSH akaongeza kiasi hicho hadi kufikia takribani 10% ya Bajeti ya JMT
Kwa maana kwamba ipo siku itafikia 25% au 50%. Hakuna Formula ya kuchangia na kugawana
Waliokataa uwepo wa mfuko wa pamoja ni Rais Mwinyi na SSH kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi Dec 08, 2022
Mwinyi alisema sababu n] kubwa ni kwamba uwepo wa mfuko wa pamoja utailazimu Zanzibar kuchangia
Bajeti ya Tanzania inachangiwa na Tanganyika kwa 100% kwasababu takwimu za BoT na kwa mujibu wa Gavana Marehemu Ben Ndulu, Zanzibar haichangii katika pato la Tanzania kwa miaka zaidi ya 40.
Kwa mantiki ni kwamba, Bajeti ya Tanganyika ni 44 T na 10% ni sawa na 4.4 T.
Bajeti ya Zanzibar peke yake ni 2.8Trilioni, lakini wanapewa 4.4T kutoka Tanganyika au Bara kama wanavyoita.
Katika hiyo Bajeti ya Tanzania a.k.a Tanganyika , madeni ya Zanzibar yapo na yanalipiwa na Tanganyika.
Bajeti ya Tanganyika inalipia gharama zote za Muungano zikiwemo kubwa kama ulinzi na usalama , mambo ya ndani, nje na Taasisi zake .
Mkoa wa Dar es Salaam unachangia 80% ya GDP ya Tanzania, je ni kiasi gani kinaelekezwa Dar kama ilivyo Zanzibar?
Takwimu za mikoa michanga ya Geita, Rungwe na Simiyu zinaonekana katika BoT, Je ni kiasi gani kinapelekwa mikoa hiyo michanga isiyo na infrastructure zozote ? Mikoa yenye maeneo na watu wengi kuliko Zanzibar
Uajiuliza haya yanatokeaje? Jibu ni Rahisi sana, Tanzania ambayo ni Tanganyika haina watetezi
Hata Wabunge kama wale wa mikoa ya Simiyu, Geita na Rungwe nao pia hawawezi kuziungumzia mikoa yao, wanaogopa Ubunge wao kuliko masilahi mapana ya maeneo yao na ''mama Tanganyika'
Kwahiyo dialysis kufanywa bure ni kitu cha kawaida sana. Wazanzibar wanakwenda kufanya kazi kwa hobby tu, wanaweza kukaa majumbani wakalipwa na kuishi vizuri zaidi.
Si sio nchiZanzibar kuna tajiri kajitolea sadaka yake.
😁😁😁😁 we punguani kweliZanzibar kuna tajiri kajitolea sadaka yake.
Daaaaaah!,Ccm hii hii Watanganyika mahayawani Tena waliochoka vijijini ndo wanasaidia kuliangamiza taifa.Kwa mujibu wa Katibu wa Uenezi wa CCM Zanzibar Bw Khamis Mbeto , jitihada za Rais SSH na Mwinyi zimewezesha Zanzibar kupata 9% ya Bajeti ya Muungano kutoka kiasi cha zamani cha 4.5% ( nukuu ya Gazeti la The Citizen, December 08,2023)
Marais wote waliopita kiwango kilikuwa 4.5, Rais SSH akaongeza kiasi hicho hadi kufikia takribani 10% ya Bajeti ya JMT
Kwa maana kwamba ipo siku itafikia 25% au 50%. Hakuna Formula ya kuchangia na kugawana
Waliokataa uwepo wa mfuko wa pamoja ni Rais Mwinyi na SSH kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi Dec 08, 2022
Mwinyi alisema sababu n] kubwa ni kwamba uwepo wa mfuko wa pamoja utailazimu Zanzibar kuchangia
Bajeti ya Tanzania inachangiwa na Tanganyika kwa 100% kwasababu takwimu za BoT na kwa mujibu wa Gavana Marehemu Ben Ndulu, Zanzibar haichangii katika pato la Tanzania kwa miaka zaidi ya 40.
Kwa mantiki ni kwamba, Bajeti ya Tanganyika ni 44 T na 10% ni sawa na 4.4 T.
Bajeti ya Zanzibar peke yake ni 2.8Trilioni, lakini wanapewa 4.4T kutoka Tanganyika au Bara kama wanavyoita.
Katika hiyo Bajeti ya Tanzania a.k.a Tanganyika , madeni ya Zanzibar yapo na yanalipiwa na Tanganyika.
Bajeti ya Tanganyika inA gharama za Muungano zikiwem ulinzi na usalama , mambo ya ndani, nje na Taasisi.
Mkoa wa DSM unachangia 80% ya GDP ya Tanzania, je ni kiasi gani kinaelekezwa Dar kama ilivyo Zanzibar?
Takwimu za mikoa michanga ya Geita, Rungwe na Simiyu zinaonekana katika BoT, Je ni kiasi gani kinapelekwa mikoa hiyo michanga isiyo na infrastructure zozote ? Mikoa yenye maeneo na watu wengi kuliko Zanzibar
Utajiuliza haya yanatokeaje? Jibu ni Rahisi sana, Tanzania ambayo ni Tanganyika haina watetezi
Hata Wabunge kama wale wa mikoa michanga ya Simiyu, Geita na Rungwe nao pia hawawezi kuziungumzia mikoa yao, wanaogopa Ubunge wao kuliko masilahi mapana ya maeneo yao na ''mama Tanganyika'
Kwahiyo dialysis kufanywa bure ni kitu cha kawaida sana. Wazanzibar wanakwenda kufanya kazi kwa hobby tu, wanaweza kukaa majumbani wakalipwa na kuishi vizuri zaidi.
Inasikitisha sana wananchi tulio wengi hatuyajui haya kwa sababu watawala hawataki tuyajue.Kwa mujibu wa Katibu wa Uenezi wa CCM Zanzibar Bw Khamis Mbeto , jitihada za Rais SSH na Mwinyi zimewezesha Zanzibar kupata 9% ya Bajeti ya Muungano kutoka kiasi cha zamani cha 4.5% ( nukuu ya Gazeti la The Citizen, December 08,2023)
Marais wote waliopita kiwango kilikuwa 4.5, Rais SSH akaongeza kiasi hicho hadi kufikia takribani 10% ya Bajeti ya JMT
Kwa maana kwamba ipo siku itafikia 25% au 50%. Hakuna Formula ya kuchangia na kugawana
Waliokataa uwepo wa mfuko wa pamoja ni Rais Mwinyi na SSH kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi Dec 08, 2022
Mwinyi alisema sababu n] kubwa ni kwamba uwepo wa mfuko wa pamoja utailazimu Zanzibar kuchangia
Bajeti ya Tanzania inachangiwa na Tanganyika kwa 100% kwasababu takwimu za BoT na kwa mujibu wa Gavana Marehemu Ben Ndulu, Zanzibar haichangii katika pato la Tanzania kwa miaka zaidi ya 40.
Kwa mantiki ni kwamba, Bajeti ya Tanganyika ni 44 T na 10% ni sawa na 4.4 T.
Bajeti ya Zanzibar peke yake ni 2.8Trilioni, lakini wanapewa 4.4T kutoka Tanganyika au Bara kama wanavyoita.
Katika hiyo Bajeti ya Tanzania a.k.a Tanganyika , madeni ya Zanzibar yapo na yanalipiwa na Tanganyika.
Bajeti ya Tanganyika inA gharama za Muungano zikiwem ulinzi na usalama , mambo ya ndani, nje na Taasisi.
Mkoa wa DSM unachangia 80% ya GDP ya Tanzania, je ni kiasi gani kinaelekezwa Dar kama ilivyo Zanzibar?
Takwimu za mikoa michanga ya Geita, Rungwe na Simiyu zinaonekana katika BoT, Je ni kiasi gani kinapelekwa mikoa hiyo michanga isiyo na infrastructure zozote ? Mikoa yenye maeneo na watu wengi kuliko Zanzibar
Utajiuliza haya yanatokeaje? Jibu ni Rahisi sana, Tanzania ambayo ni Tanganyika haina watetezi
Hata Wabunge kama wale wa mikoa michanga ya Simiyu, Geita na Rungwe nao pia hawawezi kuziungumzia mikoa yao, wanaogopa Ubunge wao kuliko masilahi mapana ya maeneo yao na ''mama Tanganyika'
Kwahiyo dialysis kufanywa bure ni kitu cha kawaida sana. Wazanzibar wanakwenda kufanya kazi kwa hobby tu, wanaweza kukaa majumbani wakalipwa na kuishi vizuri zaidi.
Kuna mpuuzi mmoja anasema Bara ni wengi kuliko Zenji. Kwani Watanzania wote ndo wanahitaji hiyo husuma?Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?
=======
Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
Kuna watu wana mawazo ya kipumbavu sana. China yenye watu zaidi ya bilioni sijui hali ingekuwaje kwa mawazo ya hao wapumbavu!Kuna mpuuzi mmoja anasema Bara ni wengi kuliko Zenji. Kwani Watanzania wote ndo wanahitaji hiyo husuma?
Wamelevywa na shibe ya kihalifu madarakaniKuna watu wana mawazo ya kipumbavu sana. China yenye watu zaidi ya bilioni sijui hali ingekuwaje kwa mawazo ya hao wapumbavu!
Huyo Nguruvi3 ni MGONJWA WA AKILI TUH,KWAI WEWE HUMJUI??Kwahiyo mimi mtu wa Tabora nikienda Muhimbili nitalipia matibabu lakini Mzanzibari akifika Muhimbili anatibiwa bure?
Mama amesikia Kilio chenu 👇👇Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?