Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

Tatizo ni kubwa kiasi gani huko Zanzibar?

By the way, hawanywi pombe kama sisi wale
 
Tufike mahali, kwa umoja, watanganyika tuseme imetosha.
 
Maisha Yao yapo poa sana.bado kidogo wananchi wataanza kulipwa kama zamani Libia.
Kwa ruzuku Toka bara.
Kwa mujibu wa Katibu wa Uenezi wa CCM Zanzibar Bw Khamis Mbeto , jitihada za Rais SSH na Mwinyi zimewezesha Zanzibar kupata 9% ya Bajeti ya Muungano kutoka kiasi cha zamani cha 4.5% ( nukuu ya Gazeti la The Citizen, December 08,2023)

Marais wote waliopita kiwango kilikuwa 4.5, Rais SSH akaongeza kiasi hicho hadi kufikia takribani 10% ya Bajeti ya JMT
Kwa maana kwamba ipo siku itafikia 25% au 50%. Hakuna Formula ya kuchangia na kugawana

Waliokataa uwepo wa mfuko wa pamoja ni Rais Mwinyi na SSH kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi Dec 08, 2022
Mwinyi alisema sababu n] kubwa ni kwamba uwepo wa mfuko wa pamoja utailazimu Zanzibar kuchangia

Bajeti ya Tanzania inachangiwa na Tanganyika kwa 100% kwasababu takwimu za BoT na kwa mujibu wa Gavana Marehemu Ben Ndulu, Zanzibar haichangii katika pato la Tanzania kwa miaka zaidi ya 40.

Kwa mantiki ni kwamba, Bajeti ya Tanganyika ni 44 T na 10% ni sawa na 4.4 T.
Bajeti ya Zanzibar peke yake ni 2.8Trilioni, lakini wanapewa 4.4T kutoka Tanganyika au Bara kama wanavyoita.

Katika hiyo Bajeti ya Tanzania a.k.a Tanganyika , madeni ya Zanzibar yapo na yanalipiwa na Tanganyika.
Bajeti ya Tanganyika inA gharama za Muungano zikiwem ulinzi na usalama , mambo ya ndani, nje na Taasisi.

Mkoa wa DSM unachangia 80% ya GDP ya Tanzania, je ni kiasi gani kinaelekezwa Dar kama ilivyo Zanzibar?

Takwimu za mikoa michanga ya Geita, Rungwe na Simiyu zinaonekana katika BoT, Je ni kiasi gani kinapelekwa mikoa hiyo michanga isiyo na infrastructure zozote ? Mikoa yenye maeneo na watu wengi kuliko Zanzibar

Utajiuliza haya yanatokeaje? Jibu ni Rahisi sana, Tanzania ambayo ni Tanganyika haina watetezi

Hata Wabunge kama wale wa mikoa michanga ya Simiyu, Geita na Rungwe nao pia hawawezi kuziungumzia mikoa yao, wanaogopa Ubunge wao kuliko masilahi mapana ya maeneo yao na ''mama Tanganyika'

Kwahiyo dialysis kufanywa bure ni kitu cha kawaida sana. Wazanzibar wanakwenda kufanya kazi kwa hobby tu, wanaweza kukaa majumbani wakalipwa na kuishi vizuri zaidi.
 
Wale tuliodhani wanaweza kutusaidoa kutatua huu mtanziko majibu yao ni "tunalinda katiba".

Inatia hasira sana.
 
Daaaaaah!,Ccm hii hii Watanganyika mahayawani Tena waliochoka vijijini ndo wanasaidia kuliangamiza taifa.
Faida ya muungano Kwa Tanganyika siioni labda mm mjinga.

Kuna sehemu wilaya mpaka Leo hazijaunganishwa Kwa Lami,achana na vijiji.
Mpaka roho inaniuma,ila ukiyakuta mazee ya huko eti yako na ccm.

Ingekuwa vijijini wanajitambua kama mijini,haki ya Nani ilikuwa sekunde tu.

Ila inafikirisha Sana,nyumba mbavu ya mbwa,unakuta bendera ya ccm na mwenye nyumba ana tshert ya ccm mpaka ya mwaka 2010 ameivaa🤔.
Aliyetunyima mfumo mazuri wa elimu Kwa wazazi na Babu zetu aliiweza Tanganyika.
 
Inasikitisha sana wananchi tulio wengi hatuyajui haya kwa sababu watawala hawataki tuyajue.

Hata wapinzani hawajayasemea inavyostahili. Hii ni zaidi ya kero kwa watanganyika. Ikisimamiwa vizuri na wapinzani ccm 2025 hakatizi.
 
Kuna mpuuzi mmoja anasema Bara ni wengi kuliko Zenji. Kwani Watanzania wote ndo wanahitaji hiyo husuma?

Huu muungano ni wa kinyonyaji. Issues kama hizi haziwasumbui viongozi kwa sababu wanaamini wanaongoza mambuzi😡
 
Kuna mpuuzi mmoja anasema Bara ni wengi kuliko Zenji. Kwani Watanzania wote ndo wanahitaji hiyo husuma?
Kuna watu wana mawazo ya kipumbavu sana. China yenye watu zaidi ya bilioni sijui hali ingekuwaje kwa mawazo ya hao wapumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…