Kwanini Diamond Platnumz amemtenga mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobetto?

Hamisa kakubali wakafanye DNA popote atakapo Diamond ila TU iwe Public....shida sio diamond,shida ni mama Ake ,alimkataa Zari katu katu dada wa watu alijitoa weee akatafutwa hamisa azae na Mondi Ili Zari apoe,akapoa dada wa watu akaondoka,akaja Tanasha NAE kazalishwa kaachwa kijana wa Kiislamu anazalisha zalisha hovyoo hata kuoa hataki,Akaja Alia,Mara sijui Zuchu NAE hatakiwi anafosi TU
Wema enzi hizoo Yuko na Mondi aliwahu sema hila za yule mama,haoni shida Kuna kugonga saa nane usiku chumbani Kwa mwanawe wakati kalala na mwanamke
Nuksi yule bibi yaani ana roho ya Kiburundi kabisa
 
Nakubaliana na wewe.Kama Kweli Hamisa ana Uhakika 100% angeendelea kwenda Mahakamani Kisutu kukazia hukumu ya kesi yake ya kudai matunzo ya mtoto toka kwa dogo wa Tandale! Now madai ni kwenye social media ndo yapo! Why ajarudi tena mahakamani?
 
Nakubaliana na wewe.Kama Kweli Hamisa ana Uhakika 100% angeendelea kwenda Mahakamani Kisutu kukazia hukumu ya kesi yake ya kudai matunzo ya mtoto toka kwa dogo wa Tandale! Now madai ni kwenye social media ndo yapo! Why ajarudi tena mahakamani?
Ana matatizo nae kubambikia mimba wenzie wanamchezea yeye anaona umaaruf .
 
Diamond na hao wanawake wake wote nu tabiq moja ni wale wale.

Ila kwa kutumia akili haweza kukataa mtoto kabisa.
 
Acha uwongo ndugu Zari ana dharau kwa watz bali ana wadharau wale wanao mdhihaki beef ya zari ni kati ya zari na other celebrities teams eg wema au hamisa na zari vs watanzania. Mtu ambaye huwa ana wadharau watz na kuwatusi ni Mange na bado mnamuita dada wa Taifa
 
Ww lini uliona zari analipa ma it specialist kuhack na kuzifuta ig account za watu, maana hamisa alifanya hivyo kwa watoto wa zari na Diamond na mengine mengi tu.

Shida ni kuwa tu Zari huwa anakuja in public mwenyewe ila hamisa atamtumia chawa wake Mange alaf in public atasema yy huwa anakaa kimya bila kuongea
 
Hiyo milango imefunguka baada ya kupata fame kutoka kwa Mond alivyozaa na Majizo mbona hiyo milango haikufunguka?

Diamond bali anambra huyo mtoto kwa mujibu wa babalevo kupitia kipindi cha mgahawa yaani malipo yyte kuhusu mtoto yanakuwa directed sehemu husika na mama hashiki ata tsh kumi maana Mama alikuwa anataka kumfanya Diamond awe mtaji wake na ndio maana ata sbb za kwenda mahakamani awali ni Diamond kupinga kiasi ambacho mama alikuwa akitaka.

Na kuhusu zari ni watz wao wenyewe husasan hao team za wadada walikuwa wakitukana watoto wa Zari ata huyo wema pamoja na Mange so Zari alikuwa sahihi kuwa shambulia pia, lkn huko hujatukanwa ww wametukana teams za watu acha kujibebesha misalabq isiyokuwa yako
 
Inaonekana wewe ni insider 😁😁😁 maana unaongea vitu vizito
 

Ahh kumbe naongea na watu wenye team zenu. Mkuu huwa sipo kwa hizo drama, niliongelea kitu kilichotrend kwa kumuingiza president kwenye masuala ya kutojua kiingereza
 
Mtoto wa billnass huyo mondi sio mjinga na hayupo tayari kulea kiumbe kisicho damu yake.

Period thread ifungwe.
Juzi nimecheki kipindi kimoja hivi kina wale jamaa wa shilawadu nahisi kinaitwa chumba cha upasuaji.

Lilivyofika swali kwa nenga kama ni kweli mtoto wa Mobeto ni wake?

Nikaona hata usoni jamaa kabadirika, alikuwa anakataa lakini asilimia kubwa yule mtoto ni wake. Kuanzia komwe macho na pua
 

😁😁😁 mbona ugomvi wa ngumi umeleta panga. Calm down binti kiziwi

By the way, 2005 - 2015 kilikuwa ni kipindi ambacho nilikuwa nafuatilia sana showbiz ya Africa nzima kwa hiyo Zari nilianza kumjua kabla ya kudate na mondy, enzi hizo inasemekana ndio richest socialite in East Africa kabla ya Akothee kuja juu

Hadi Zari anafika bongo, alikuwa anakuja kwa muzamili, kitu kama hicho na alikuwa close sana na sintah,

Alipoingia kwenye mahusiano na mondy, alikuwa anambully sana Wema kwa sababu tu ya "kutokuzaa" na kucomment kwenye kila move yake kwa kuonesha she is better than her, kitu ambacho wema alikilalamikia sana. mwanamke gani mwenye decency anaweza kufanya hivyo

She tried the same thing kwa Sharon O na Fabiola, uliona reactions za waganda

Alijaribu kwa Huddah, uliona reactions za wakenya

Alijaribu kwa huyu lady wa Ghana kwenye ile show ya juzi kati hapo, uliona reactions za waghana

Ushawahi ona Waganda wakihangaika nae hata kwenye mass media, social media au hata kwa mastar wenzie wa Uganda

Ila Tanzania akifanya chochote na lolote lile, she gets away with it na anapata support na endorsements juu.. Hiyo ni love au obsession
 
Well km ni hivyo ni karma kwa wote haichagui ss wapi alisema rais hajui kiingereza maana hakuna sehemu ume highlight hiyo kitu au umsema kwenye app na ww
 
Ni uhuru wa mitandao na sio kwamba alitukanwa. Kwa hiyo Zari alisema president hajui kiingereza?
Nakumbuka kilikuwa ni kipindi cha magufuli, kuna video siikumbuki fresh Ila walikuwa wanacomment kuhusu english ya Tiffah kwa kusema haitokuwa perfect cause watz hawajui english like their president.. Nakumbuka baadae aliomba radhi kwa kusema alinukuliwa vibaya
 
Pata picha angekuwa na sura mbaya na hana shape ungesema hivyo? Hapa mjini ukiwa na shape na sura nzuri huwezi hukafa njaa
 
Umeongea point mimi mwenyewe nashangaa wanaosema eti hamisa ana maendeleo?
 
Huyo si mdangaji subiri umri uende Ndio utajua ukweli
 
Huyo si mdangaji subiri umri uende Ndio utajua ukweli
Sijakupinga, mdangaji kwakuwa mmatumbi mwenzetu, Ila wale wengine wawili wa nje na hapa wanaopokea Ela za matunzo ya watoto na wao wanakula humohumo, wao sio wadangaji,? wadangaji wengi Ila mwenzetu wanadanga pazuri sio sisi tunadanga kwa choka mbaya.
 

100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…