reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Hamisa kakubali wakafanye DNA popote atakapo Diamond ila TU iwe Public....shida sio diamond,shida ni mama Ake ,alimkataa Zari katu katu dada wa watu alijitoa weee akatafutwa hamisa azae na Mondi Ili Zari apoe,akapoa dada wa watu akaondoka,akaja Tanasha NAE kazalishwa kaachwa kijana wa Kiislamu anazalisha zalisha hovyoo hata kuoa hataki,Akaja Alia,Mara sijui Zuchu NAE hatakiwi anafosi TUTatizo lipo wapi? Hamisa yupi huyo kila siku ana danga jipya yaani unaweza kuamini mwanamke anayedanga !?
Hamisa za chini kakataa kwenda kupima DNA south Africa ila pesa ya matunzo alienda mahakamani kama sio njaa ni nn?
Umri sio rafiki anachuja hana jipya ila mwenzio ndio kwanza kumekucha anatembea na vitoto wakina Zuchu..
.DNA za bongo ni utapeli na Diamond hawezi kukataa mtoto hata siku moja .
Wema enzi hizoo Yuko na Mondi aliwahu sema hila za yule mama,haoni shida Kuna kugonga saa nane usiku chumbani Kwa mwanawe wakati kalala na mwanamke
Nuksi yule bibi yaani ana roho ya Kiburundi kabisa