Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida wanaodunduliza fedha za hapa na pale au kupata ufadhili wakiwa kama chawa kutembelea mji huu??
Hapo bongo naona karibia kila mtu maarufu Dar es Salaam aliyejipatia pesa kidogo hakosi picha za Dubai katika mitandao yake ya kijamii.
Hapo bongo naona karibia kila mtu maarufu Dar es Salaam aliyejipatia pesa kidogo hakosi picha za Dubai katika mitandao yake ya kijamii.