Kukusaidia kidogo kwanza kukujibu kuhusu cheap hotel ni kweli zipo bahati mbaya sina uhakika kiasi gani ila kwa ufupi zipo za bei rahisi. Dubai ni chaguo lako tu hata chakula ukitaka utakula bei rahisi sana tu na ukitaka utakula ghali sana. Sasa kiujumla Ndege na malazi inategemea na msimu, miezi ya hali ya hewa nzuri na holiday ndege na Hotel bei zinapanda sababu mahitaji yapo juu ila ukienda kipindi cha joto bei zinakuwa chini. Kwenye ndege nadhani kwa kuwa Air Tanzania wanaenda siku hizi nadhani watakuwa wako vizuri kuliko wengine.Asante kwa Information.
Samahani, hivi lodge za bari ya chini kabisa zipo? Ni sh ngapi?
😀
Ili na sie wengine twende jmn!
Na vipi nauli ya ndege? Shirika Gani ndo lipo chini?