Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Brother mbona uislamu ndio wa kwanza kuwa na chuki na wasio waislamu tena kwa mujibu wa Quran?Wewe ni mmoja wa members ninaowajua wenye chuki kwa waislamu, na mnaupiga vita uislamu, usipowataja waislamu siku yako haiendi.
andika vizuri, kuna RED LIGHTS? Umewahi kufika Bangkok Thailand? Pataya beach?Danguro la mashehe na maustadhi wanadinyania dubai kisha wanakwenda maka kusujudu Mungu ...DUNIA KWA SASA IMEJAA WAISIHARAMU TU HAKUNA MUISLAMU HATA MMOJA
Kuna boss mmoja muhindi nilikuwa nafanya naye kazi basi Kila mara akitaka kunielekeza jambo ananiita Habiiibi, Habiiibi! nikaona huyu anataka kuniletea mambo ya upinde siku nikamwambia boss hizo pigo za kuitana hayo majina sio akaacha kuniita baadae nilipowauliza Wana wakaniambia hilo mbona ni neno la kawaida tu nikabaki aah kumbee!!.Habibiii come to DUBAI.
Sio kweli, Dubai wameweza kushawishi watu kwenda Dubai sio kwa maneno tu bali vitendo. Kitu kikubwa wameifanya Dubai kuwa salama, ni sehemu pekee nenda na family yako tembea usiku na mchana na na usiwe na hofu ya chochote, wamejenga malls kubwa kabisa za kisasa na brand kubwa duniani wapo, hotel za kisasa na viwango. Leo hii Dar unaweza kwenda kulipa Hotel dola 200 standard ya kawaida kwa maana ya quality lakini Dubai ukaa Hotel kama King same price au low.Wana advertise sana!! hamna maajabu
Kule kuna utalii artificial kaka.Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida wanaodunduliza fedha za hapa na pale au kupata ufadhili wakiwa kama chawa kutembelea mji huu??
Hapo bongo naona karibia kila mtu maarufu Dar es Salaam aliyejipatia pesa kidogo hakosi picha za Dubai katika mitandao yake ya kijamii.
Kwa KUJENGEKA HAKUNA MJI WOWOTE WESTERN unaofikia Dubai.swali zuri sana. Maana sidhani kama Dubai inauzidi miji ya USA na Western World!
Niulize swali: Kwani starehe za umalaya zipo wazi? Maana watu wengi wanapenda vitu kama hivyo....refer Pataya Beach in Thailand! Red streets usiombe!
niwekee please hizo ulizozitaja nioneKwa KUJENGEKA HAKUNA MJI WOWOTW WESTERN unaofikia Dubai.
Dubai ina skyscraper ndefu DUNIANI.
Ina barabara bora top 3 duniani ikizidiwa na JAPAN tu.
Dubai ina majengo mengi ya ajabu yenye architecture nzuri kuliko kokote Ulaya.
Waarabu wanajua kutumia pesa mkuu.niwekee please hizo ulizozitaja nione
Dubai artificial/man made Islands.niwekee please hizo ulizozitaja nione
Depal , unazungumzia Dubai kuwa cheap!!!!! Hivi unajua kuwa Dubai nje ni 45 degrees Centigrade wakati ndani ya nyumba au stand ya mabasi ni 10 Degrees Centigrade. Dubai ni ghali, I hate Dubaipazuri na itakuwa gharama sio kubwa sana, seems affordable ukijipanga.
Maldves pazuri sana, ila sio popular
🤣🤣Danguro la mashehe na maustadhi wanadinyania dubai kisha wanakwenda maka kusujudu Mungu ...DUNIA KWA SASA IMEJAA WAISIHARAMU TU HAKUNA MUISLAMU HATA MMOJA
Tuombe uzima...Maldves pazuri sana, ila sio popular
Asante kwa Information.Sio kweli, Dubai wameweza kushawishi watu kwenda Dubai sio kwa maneno tu bali vitendo. Kitu kikubwa wameifanya Dubai kuwa salama, ni sehemu pekee nenda na family yako tembea usiku na mchana na na usiwe na hofu ya chochote, wamejenga malls kubwa kabisa za kisasa na brand kubwa duniani wapo, hotel za kisasa na viwango. Leo hii Dar unaweza kwenda kulipa Hotel dola 200 standard ya kawaida kwa maana ya quality lakini Dubai ukaa Hotel kama King same price au low.
Wame set quality kwa service zote nenda kale KFC ya Dubai halafu njoo KFC ya Bongo ni mbingu na ardhi. Uber zao order ni Lexus model mpya hawaruhusu gari chini ya 5 years model na ni Lexus mpya huku Tz unaweza kukuta matajiri wachache sana wanamiliki. Kiujumla standard iko juu na hata huko chini kama Deira kwa watu wa chini au wafanya biashara standard iko chini kulinganisha na maeneo mengine ya Dubai lakini bado standard iko juu kulinganisha na Hotel zetu za Dar. Dubai ni wewe mwenyewe utaenda na ukirudi utaenda tena na tena na tena, kwanini? wanakupa unachokitaka wewe na kama sio wewe mke wako na mpaka watoto.
Daguro la mashehe na maustadhi ni tofauti na hayo yasiyo ya mashehe na maustadhi ni kama kanisa katoliki kuna watawa unajua wapo kwa sababu gani ...watu wanadinyana kibikira Mariaandika vizuri, kuna RED LIGHTS? Umewahi kufika Bangkok Thailand? Pataya beach?
it seems wanatumia umeme mwingi sana tena sana. At 45 degrees ambient temperature, you need to use a lot of energy to cool what you intend.Depal , unazungumzia Dubai kuwa cheap!!!!! Hivi unajua kuwa Dubai nje ni 45 degrees Centigrade wakati ndani ya nyumba au stand ya mabasi ni 10 Degrees Centigrade. Dubai ni ghali, I hate Dubai
Ulaya wana natural visiwa, why trouble with artificial ones and after all you do not get the natural beauty of islands. Kisiwa kinabidi kiwe kimezungukwa na macho beyond eye sight! All in all, wamejitahidi!Vitu hivi Ulaya unaviona wapi kaka!?