Kwanini Dubai ni maarufu sana? Kipi cha kuvutia zaidi katika huo mji?

Asante kwa Information.
Samahani, hivi lodge za bari ya chini kabisa zipo? Ni sh ngapi?
πŸ˜€
Ili na sie wengine twende jmn!

Na vipi nauli ya ndege? Shirika Gani ndo lipo chini?
Kukusaidia kidogo kwanza kukujibu kuhusu cheap hotel ni kweli zipo bahati mbaya sina uhakika kiasi gani ila kwa ufupi zipo za bei rahisi. Dubai ni chaguo lako tu hata chakula ukitaka utakula bei rahisi sana tu na ukitaka utakula ghali sana. Sasa kiujumla Ndege na malazi inategemea na msimu, miezi ya hali ya hewa nzuri na holiday ndege na Hotel bei zinapanda sababu mahitaji yapo juu ila ukienda kipindi cha joto bei zinakuwa chini. Kwenye ndege nadhani kwa kuwa Air Tanzania wanaenda siku hizi nadhani watakuwa wako vizuri kuliko wengine.
 
it seems wanatumia umeme mwingi sana tena sana. At 45 degrees ambient temperature, you need to use a lot of energy to cool what you intend.
Umeme wanautoa wapi?
Dubai kuna systems mbili moja ni cooling ambapo unaletewa nyumbani kwako na malipo yake ni tofauti na bill ya umeme wa kuwashia na kupikia. Ajabu na kweli Gharama ya umeme ni ndogo sana. Naona wana vinu vya kufua umeme. Cooling system

How are buildings cooled in Dubai?
Chilled water is delivered via an underground insulated pipeline to buildings connected to the system. The cooling energy is then used to lower the temperature of the air within the building, providing a comfortable indoor environment.

Nimeitoa hapa A Comprehensive Guide to Dubai's New District Cooling Regulations.

According to one source, AED 625 to AED 800 (450,864 hadi 578,031 TShs) is the typical monthly cost of utilizing a district cooling system in Dubai. On the other hand, with chiller-free options, tenants may not have to worry about demand charges and may only be responsible for consumption charges.

Nimeitoa hapa Chiller-free vs District Cooling in Dubai: A Comparison.
 
Asante sn
Kipindi Cha joto kule ndo miezi Gani ?
 
ASANTE SANA. iT SEEMS INCOME YAO NI KUBWA MAANA HIYO NDIO MSHAHARA WA MTU WA HAPA tz!
Ndugu yangu!!!! Nilisema I hate Dubai maana ni ghali sana kwa mtindiga kama mimi. Ukiwa na biashara au mpagazi huko, mambo ni ya kawaida.

Tatizo kubwa ni kuwa kila kitu ni artificial! Hakuna kitu natural, hivyo pesa inatumika sana. Asilimia 70 ya wakazi ni wahindi na wa Pakstani, utakuta ana miaka 25 Dubai lakini familia ipo nchini kwao. Ukimuuliza kwanini, anasema hawezi kumudu kuishi na mke na watoto Dubai. Wakati huo huo ana siku za mapumziko 60 kwa miaka 2.

Upwiru wanaumaliza hawa mabinti zetu wanaojifanya wanaenda kutalii Dubai. Utawakuta international city wanasaka hela kwa kutumia natural resources. Wengi wao hawawezi kupata Residence permit kwa vile Dubai ukikutwa na Ukimwi, unarejeshwa nchini Mwako.
 
Ila mbona waarabu wenyewe wanaishi shega tu!?
Au kuna mfumo tofauti kati ya mzawa na mgeni!?
 
Siyo Watanzania tu dunia nzima wanatamani kwenda Dubai, ushangai watu wanatoka Marekani na Ulaya wanakwenda kupumzika Dubai.
 
Kilimo cha mikarafuu
 
Neno habibi halina ubaya wowote na maana yake ni sawasawa na kusema my dear kwa kiingereza au mpendwa kwa kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…