Kwanini Dubai ni maarufu sana? Kipi cha kuvutia zaidi katika huo mji?

Sababu ni hizi;
1. Unafuu wa nauli.
2. Urahisi wa kupata visa.
3. Unafuu wa malazi. Dubai kuna wabongo wana apartments wamezifanya kama hostel unalipa kama Tsh 100 - 150k kwa wiki kulala. Hata hotel upande wa Deira zipo za bei rahisi.
4. Usafiri wa ndani ya Dubai pia rahisi.

Kimsingi Dubai kunaendeka kirahisi sana kuliko China na kwingineko.
 
Kwa uzoefu wangu ukiona sehemu inakubalika sana ujue kuna ufuskaa wa kila namna huko..
Mfano zanzibar kwenye zile hotel kinachotokea mule kina eleweka.
 
Hahaha umeishafika? Hamna kitu watu wanalipa $800 to $1500 per night.

Miafrica ina chuki za kijinga sana.
we gaidi mbona ivo
kwaiyo wakilipa dola 1500 ndo nn?? hiyo si milion 3!!


ushaenda thanda island hapo?? unajua ni sh ngap?
ebu ona bei hizi wewe Hamasi
 

Attachments

  • C5D66F10-2F97-41C6-ADA3-1BD8B37687FF.jpeg
    426.6 KB · Views: 6
we gaidi mbona ivo
kwaiyo wakilipa dola 1500 ndo nn?? hiyo si milion 3!!


ushaenda thanda island hapo?? unajua ni sh ngap?
ebu ona bei hizi wewe Hamasi
Wewe shoga kwa hiyo bei ndiyo unaona kubwa? Mwambie Basha wako akupeleke hii hotell Dubai.

Atlantis, The Royal: The Royal Mansion — an 11,840-square-foot (1,100-square-meter) four-bedroom, split-level suite — at Atlantis, The Royal, is the most expensive hotel room in Dubai, with price-on-request starting from around $100,000 per night.
 
ndo nilikua nakueleza ww bwabwa unaezani dubai pa maajabu
 
Hayo uliyoyasema ni sawa ila kwa malazi, umetia chumvi. Dubai malazi ni ghali sana. Kuhusu vıza ni hela yako tu. Kwa mtanzania unapata hata baada ya masaa 2.
 
Same reason kwanini Singapore, Monaco, Luxembourg na wengineo ni maarufu, Dubai hakuna Kodi ama kuna kodi ndogo sana kutegemea na unafanya nini,

Sababu Hakuna kodi ikasababisha Mamilionea na matajiri mbalimbali kwenda Pale na kuhamisha biashara zao.

Imagine wewe ni mmiliki wa website ama una biashara yoyote ya Service, Nchini kwako una kodi lukuki at same time Dubai unaambiwa ukinunua Apartment dola kadhaa unapewa makazi ya Kudumu na hukatwi kodi, utabaki hapo Ulipo?


Soma hio article inaelezea vizuri
 
Binadamu tunapenda starehe...wenzetu wametengeneza mji wa starehe... kula bata..marahaaa! Nani binadamu asiyependa raha..!!?
 
Asante kwa Information.
Samahani, hivi lodge za bari ya chini kabisa zipo? Ni sh ngapi?
😀
Ili na sie wengine twende jmn!

Na vipi nauli ya ndege? Shirika Gani ndo lipo chini?
Dubai ni kama Zanzibar kuna Msimu ambao upo busy na gharama zipo juu na kuna msimu wageni wachache gharama Zinashuka.

Off season ya Dubai ni mwezi wa 4 mpaka wa 8 jua kali kule watu wanaondoka, kuna vyumba kibao unapata chini ya Dirham 100 (Chini ya 70,000).

Nauli kuna ndege hadi chini ya dola 300.

Unaweza kwenda Dubai na kurudi Kwa 1M ukijibana, otherwise 2M una enjoy vizuri tu + shopping.
 
it seems wanatumia umeme mwingi sana tena sana. At 45 degrees ambient temperature, you need to use a lot of energy to cool what you intend.
Umeme wanautoa wapi?
Unauliza Umeme Jangwani? Kila kitu jangwani kinazalisha umeme, Jua kali ukiweka solar twende, upepo mkali ukivuna twende, Mafuta bwerere, Gas ya kutosha etc.


Solar za Dubai zinazalisha MW 1500 sasa hivi bado ujenzi unaendelea, mpaka kukamilika itakua ni MW 5000-6000.
 
🙏 Barikiwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…