Priiiii!!! 🚩🤣 Utopolo. Paris maandamano ya kawaida! Hamna lolote!Breaking news 👇👇
Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'
Mpaka tunaingia mitamboni miji hii kinawaka sasa 1. Paris 2. London 3. Berlin Jana ilikua New York na pia Lebanon kunawaka moto kati ya polisi na waandamanaji wanaopinga uonevu wa Israel kwa Palestinawww.jamiiforums.com
jews walikwenda palestina hata kabla ya kuundwa israel na uingereza kufika, ushahidi upo wa kutosha.Ukiachana na dini wao hawakukaribishwa walirejea kwao na uingerea aliyekuwa mkoloni ndie aliyewapa ardhi nenda kasome mitandaoni. Kwanini wasiitake dubai au Iran watake Jerusalem sababu sio wajinga walitaka kwao
Haijalishi ni miaka mingapiBaada ya miaka mingap kuondoka
Parestina kwao wapBaada ya miaka mingap kuondoka
Unacomment kulingana na udini watu wanaangamia hukoHaijalishi ni miaka mingapi
Wàludi walikohama mababu zao kabla ya kwenda Israel. Kwan Ki asili wapalestina ni wazaliwa wa ardhi ya Israel???Parestina kwao wap
Unacomment kulingana na udini watu wanaangamia huko
WapWàludi walikohama mababu zao kabla ya kwenda Israel. Kwan Ki asili wapalestina ni wazaliwa wa ardhi ya Israel???
Hzo stor za 10000bc...haya wangoni waende south, na wabantu waende Cameron
Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo(ambae Mungu alimbadirish jina na kumuita ISRAEL).hivi nikirudi kwenye maandiko ndio wale kizazi cha baba wa imani ismaili na isaka? kuna nini hasa wanacho gombania ni lile eneo la msikiti? au kuna jambo gani mi naona mabomu tu nifahamisheni chanzo cha hawa kubondana kuna nn mbona mataifa makubwa wapo kimya? basi hata Africa tupo kimya whats happening?
[emoji23][emoji23]Ngoja wapukutike kwanza wanajifanyaga wahuni kuvaa tubomu kuuwa wengine. Wamekutana na wababe wacha tuwaangalie sasa
Alaaniwe akulaaniye, na abarikiwe na Yehova akubarikiye na watu wote waseme amen. Chunga Sana, unapofunua domo lako juu ya taifa hili takatifu.Parestina wanaonewa Sana af anakuja mmasai mmoja anawasifia Israel kuwa ni taifa teule... parestina hawapgan na Israel Bali wanaandamana, wanaopgana na Israel ni gammas na sio parestinaView attachment 1786087hilo enoleo lote kilikuwa la parestina mwaka 1919 now wamekuwa wakimbizi , Hawa wapuuzi Bora wangeletwa Uganda tu Kama ilivokuwa imepangwa
Yaaaah kwakuwa wew so mteule Bali wao ndo watauona ufalme wa mungu nawe huna haja lazma uwashabikie hata Kama wanatenda uovu, ...ok nipe fact ku justify uteule wako huenda mm nta weza kushangilia chinja chinja yaoAlaaniwe akulaaniye, na abarikiwe na Yehova akubarikiye na watu wote waseme amen. Chunga Sana, unapofunua domo lako juu ya taifa hili takatifu.
Pia mi nashangaa mkuu..In short nchi za Kiarabu vita wamefanya kama sehem ya maisha yao. Bila shaka pia nahis vita ni sehemu ya imani yao. Haiwezkan nchi za kiarabu miaka yote zenywe ziwe na vita tu.
NdioHzo stor za 10000bc...haya wangoni waende south, na wabantu waende Cameron
Iran na Syria hukoWàludi walikohama mababu zao kabla ya kwenda Israel. Kwan Ki asili wapalestina ni wazaliwa wa ardhi ya Israel???
Acha tu mwarabu apigwe. Vile mwarabu alivyoua ndugu zetu pale darfur, mwarabu sio mtu hana huruma acha apigwe sanaParestina wanaonewa Sana af anakuja mmasai mmoja anawasifia Israel kuwa ni taifa teule... parestina hawapgan na Israel Bali wanaandamana, wanaopgana na Israel ni gammas na sio parestinaView attachment 1786087hilo enoleo lote kilikuwa la parestina mwaka 1919 now wamekuwa wakimbizi , Hawa wapuuzi Bora wangeletwa Uganda tu Kama ilivokuwa imepangwa
Wanafitinishwa na mabeberu NDUGU yangu na siyo Imani yaoIn short nchi za Kiarabu vita wamefanya kama sehem ya maisha yao. Bila shaka pia nahis vita ni sehemu ya imani yao. Haiwezkan nchi za kiarabu miaka yote zenywe ziwe na vita tu.