Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

Darfur Ni mkakati wa WESTERN POWERS na siyo waarabu .WAZUNGU WANAAKILI SANA ZA FITINA WALITUMIA FOMULA YA DIVIDE AND RULE.YAANI WAGAWE NA UWATAWALE. KISHA WAMEFANIKIWA KUIGAWA SUDANI NA KUMWONDOA BASHIR
Acha tu mwarabu apigwe. Vile mwarabu alivyoua ndugu zetu pale darfur, mwarabu sio mtu hana huruma acha apigwe sana
 
Aliyeshika silaha Kuua na kuchoma moto watoto wadogo wa africa ni western au muarabu?
Yaani ndugu YANGU amini usiamini hip ndiyo UKWELI watu wanatumika wakipewa fedha KUFANYA hivyo
 
suluhisho pekee kati ya Israel na Palestina ni kuungana na kuwa Nchi moja ikishindikana hilo basi palestina wauze ardhi yao kwa palestina wahamie sehemu nyingine hata waje huku Africa tutawapa mapori waanzishe Nchi mbali na hapo sahau hii vita yao itaendelea maisha yao yote mpaka mwisho wa dunia. umoja wa taifa umeshindwa kuleta amani kwenye hizi Nchi zao kwa makusudu maalumu wanayojua wao.

maisha ya Vita yanawapa akili nyingi Israel kwenye ku develop na kufanyia utafiti siraha kali za kujilinda dhidi ya uvamizi hivyo basi mataifa mengine yana benefit na technolojia mpya ndio maana hakuna anayeingilia. wao wanachota ujuzi hawa kila siku ni kubuni siraha mpya wakati mataifa mengine wakiweka utafiti zaidi kwenye maendeleo. ndio maana kuna watu wanasema US anatengeneza siraha zake na wa Israel ni kweli kbs kutokana na nilichokiandika hapo juu.
 
Toa facts sio porojo. Vyote nilivyoandika ukigoogle au kufuatilia maktaba au popote kwenye documentation ya ancient history utaona sio unabwabwaja kama sio hujui kitu kaa kimya
 
Ukikataa History inavyosema basi na vitabu vya dini Quran na Holy Bible vipinge pia
 
Ni mgogoro unaochosha wa karne nyingi! Jitihada zote za Jumuia ya Kimataifa zimeshindwa!
 
UN na USA ni hypocrite

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Aliyeshika silaha Kuua na kuchoma moto watoto wadogo wa africa ni western au muarabu?
Ukitaka kujua waarabu si watu wazuri. Biashara ya utumwa waliianza kitambo kabla hata ya wazungu kuja Ila leo ukiulizia population ya watu weusi Uarabuni kama wazawa wa huko ni ndogo Sana na kwenye nchi zingine hakuna. Hapo ndio utakuwa Watumwa wengi waliuliwa huko Uarabuni na hawakuruhusu wazaliane. Acha Israel aendelee kugawa dozi.
 
Labda waende kwenye nchi yako Ila si Tanzania yangu tutagawa dozi pia
 
Jiulize Kwa nini hakukuwa na fujo Trump alipokuwa rais .
 
Sasa mtu unaamuliwa hutaki watu wafanyeJe ?!. Wakati huo huo hadithi ya pale ni ngumu sana na haiwezi kuamuliwa kwa hekima za kinafiki .

Kila walipoamuliwa wamezuiwa haya , lakini hawachelewi kuvunja makubaliano.
1. Wa Israel waache kujipanua kwa kuwavunjia Palestinians makazi.
2. Palestinians wakome kurusha makombora kwenda Israel .

Lakini baada ya muda tu kila upande unashindwa kujizuia . Ni watu wasioridhika na suluhu bali nafsi zao.
 
Neno
 
Ukikataa History inavyosema basi na vitabu vya dini Quran na Holy Bible vipinge pia
Nani mpingaji kati ya Mimi na wewe kwenye haya maandiko ya biblia

Ufunuo wa yohana 2:9 na 3:9
 


inafikirisha yaani hadi Allah anawahofia wayahud had kawawekea aya. si kawaumba mwenyewe.. kwa nini atuonye kuhusu myahud..

yaan sawasawa Allah atuonye kuhusu Msukuma
au mkenya.. inamaana wayahud wote by default wanazaliwa na roho mbaya na makatili..

and there is nothing Allah can do about it?

mh inafikirisha sana kitabu kitakatifu kuwa single out jamii fulan kwa kuwataja kuwa jiepushen nao.. maana navyojua tabia za binadam zinafanana kama kuna mzinz na jamabz afrika atakuwepo pia mwarabu,myahud, mzungu hadi msomali ..

anyway ndo tuliyoyakuta tulivyozaliwa acha maisha yaendelee
 
Waganda wao wangeenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…