Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Sio kweli. Nyoka ni nyoka na shetani ni shetani. Ndio maana shetani aliingia kwa nyoka.Nyoka na binadamu waliwahi zungumza wakaelewana haijawahi tokea maandishi ya kwenye vitabu vitakatifu ni fumbo ili kuelewa utulize akili.kumbuka chetani asili yake ni nyoka ila anauwezo kujibadilisha na kuwa kwenye muonekano wa binadamu.
Kampeni ya Sidanganyiki ilikuwa bado.Ni kwamba kipindi hicho wanyama walikuwa wanaongea au?
Kama sivyo, kwanini huyo bibi yetu hakushtuka na kukimbia kwa Adamu kuomba msaada?
Sasa nyoka alikua katika umbile gan? La mtu?Wewe unadhani alikuja kwenye umbile la nyoka
Yule baalam alikuwa mchawimchawi hivyo alizoea hizo drama.Adam na Eve stories ni animistic tu kama Panya mabaka na genge lake
Sio tu Eva, upo mfano mwingine ambapo ukisoma Numbers 22 utaona kuna punda aliongea na kuna mtu alikuwepo na hakushtuka
Shetani tayari yupo kwenye adhabu maana alishushwa kutoka mbinguni. Ni sawa na leo umchukue majaliwa umpeleke pale kwenye viwanda vya MO awe anafanya kazi ya laki na nusu kwa mwezi. Ni adhabu tosha.Bahati mbaya ni kwamba Adam na Hawa pamoja na nyoka walilaaniwa onthe sport lakini mr sheth akaachwa akipeta.
Mkuu hukupita sunday school?Stori za vijiweni hizo
Kitu kama hichoIle ni chai ndugu!
Kukitokea mapinduzi halafu vita ifuatie na watoto na wanawake wafe, je wanakuwa wamekufa kwasababu wana makosa?Imagine nyoka alipewa akili kuliko binadamu. At the same time binadamu akapewa uwezo wa kutawala viumbe vyote.
Aliyekula tunda ni mtu (Adamu na Hawa) hawa wanyama wanaokufa walikosa nini
Hapa umeniacha mkuuUkweli wameuficha huwezi kuujua 0-9 ndio mwisho sera hamna
TuwafugeeHawa wanahusika humu?🤣
Ai ai, Shetan asili yake ni malaika tena ndie malaika mzuri kuliko wote, Biblia yenyewe inazungumza mambo hayo Mkuu.Nyoka na binadamu waliwahi zungumza wakaelewana haijawahi tokea maandishi ya kwenye vitabu vitakatifu ni fumbo ili kuelewa utulize akili.kumbuka chetani asili yake ni nyoka ila anauwezo kujibadilisha na kuwa kwenye muonekano wa binadamu.
Imani yako tu...Biblia imeandika kweli tupu. Hapa tunajaribu kutafuta uhalisia wa kipindi hicho. Kwanini yule mama hakushtuka kusemeshwa na mnyama.