Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Sio kweli. Nyoka ni nyoka na shetani ni shetani. Ndio maana shetani aliingia kwa nyoka.Nyoka na binadamu waliwahi zungumza wakaelewana haijawahi tokea maandishi ya kwenye vitabu vitakatifu ni fumbo ili kuelewa utulize akili.kumbuka chetani asili yake ni nyoka ila anauwezo kujibadilisha na kuwa kwenye muonekano wa binadamu.
Kuingia ni kumaanisha kwenda ndani ya kitu usichokuwa.