Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Labda Ridhiwani MagufuliRidhiwani atakuwa rais 2030 ili aendelee kuchuma. Moende au msipende.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Ridhiwani MagufuliRidhiwani atakuwa rais 2030 ili aendelee kuchuma. Moende au msipende.
Hehe na bado atawatesa nyie watu wa NWOJiwe alitaka aue watu wote abakie yeye tu shetani yulee
Jiwe amekufa na legacy yake imekufa mazima. Hakuna sukuma gang yeyote ama mtoto wa jiwe atakuja kunusa ikulu tena. Never and never again.Labda Ridhiwani Magufuli
Sawa mr fisadiOk mi fisadi na wewe Masikini unayeumia watu wakipata
Issue ni wakiondoshwa au issue ni waliyoyafanya kulididimiza taifa hili na bado wanaendelea kuyafanya, i can agree kua wakiondoka ndio hayo yote uliyoyataja yanaweza kufanyika. Ufisadi wote unaofanyika nchini source ni CCM na hiyo familia ndio ina mafisadi yaliyokubuhu ukiwemo na wewe, sasa sijui wewe ndio mama salma au vp.Ok, hebu tufanye leo hii Mungu anaiondosha familia nzima ya JK, je ndo mishahara itaongezeka?
Je ndo pension zitalipwa vizuri?
Je ndo nchi yetu itakuwa tajiri?
Kwa mawazo yako unaamini shida zote za watz ni kutokana na uwepo wa familia ya JK.
Una ROHO YA KIMASIKINI!!
Inawezekanaje mke wa mh Kikwete atengwe na ukwasi wa familia?? Nitamaa tu ya mama huyo! Na pengine pamoja na madhaifu ya Kikwete hapa mkewe kamuongezea ubaya kwa wananchi kwa kujua au pasipo kujua mama huyo.Au walizinguana mzee akamwambia hapa huambulii senti 5, tafuta za kwako
Fala wewe hunijui huyo JK wako tulikua tunampambania sisi hapa wakati wewe ukila urojo huko mchambawima kenge wewe.Kukaa unamuwazia mabaya JK ni kujitesa nafsi tu
Ukiyajibu maswali hayo hutokaa kuhangaika na JK.
Shika hamsini zako
Haya yote yana mwisho. Waache wajilimbokizie mali za udhalimuinakera sana kuongezeana pesa za walipa kodi wakati wanamadili kwenye makampuni makubwa watakayokula wao na vizazi vyao.
Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.
Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.
Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?
Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.
Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma, pengine ipeleke hoja bungeni na kutia ushawishi kwa Rais. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.
Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
Ukweli wanajua wao sisi wengine ni watafsiri tu ila kikubwa bunge kupitisha ule upuuzi ni huzuni sanaInawezekanaje mke wa mh Kikwete atengwe na ukwasi wa familia?? Nitamaa tu ya mama huyo! Na pengine pamoja na madhaifu ya Kikwete hapa mkewe kamuongezea ubaya kwa wananchi kwa kujua au pasipo kujua mama huyo.
Msoga ishakufa sahv inanuka uozo tu,,,,,..........dadeki mlitaka kumlia timing Konda boy huko kusini halafu maturubai mwishoni mkatandika nyie....hadi ifike 2030 wazuri hawafi watakua wanapumulia njia ya haja kubwa badala ya puani........,kazi ya sasa ni kuhamisha tu rimotiHakuna lolote! Rais baada ya Samia atatokea kati ya hawa mastaa 4 toka Msoga Camp:- Ridhiwan, Nape, January na Mwigulu. Wengine endeleeni kuimba iyena iyena tu.