Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mwenyewe nimeshangaa heading imebadilika wakati haikuwa na shida kabisa.JF ifike wakati mtu avune alichopanda , kurekebisha heading ya uzi huu kumeondoa uhalisia , uzi ulihusu Tamaa ya hiyo familia na kiukweli wanayo tamaa iliyopitiliza , kitu ambacho na nyinyi mnajua , sasa mnapomsitiri mnakuwa mnalenga kuokoa nini ?
Acheni nyeusi iitwe kwa rangi yake halisi
Waislamu ni wabinafsi sana ndio maana wabaguzi wa kidin sanaShoga baba yako
Asiyependa ama atakayependa ni wewe na nafsi yako.Ridhiwani atakuwa rais 2030 ili aendelee kuchuma. Moende au msipende.
Naunga mkono hojaMoja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.
Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.
Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?
Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.
Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma, pengine ipeleke hoja bungeni na kutia ushawishi kwa Rais. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.
Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
Duh..Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.
Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.
Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?
Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.
Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma, pengine ipeleke hoja bungeni na kutia ushawishi kwa Rais. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.
Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
🤣 🤣 🤣Au walizinguana mzee akamwambia hapa huambulii senti 5, tafuta za kwako
📝🔊🆒👌👍👌👏👊🤝🙏🎁🗼🛡️🤔🤔🤔🤔🤔🤔Kuna watu na mambo yao ni mishangazo kwa jamii yenye kutafakari.Na ukiwaza kama mleta uzi utaulizwa maswali ya kijinga sana.
-Kwani hawana haki ya kuwa viongozi?
-Una wivu wa kike?
-Kwa nini baba yako hakuwa raisi ili mama yako awe first-lady mwenye ubunge na wewe ukawa mbunge mwenye uwaziri?
-Nini maana ya demokrasia na haki kwa kila mmoja bila upendeleo?
-Kwani sheria hutungwa na kupitishwa na mbunge mmoja tu?
-Ni dhambi mtu kueleza na kuomba hitaji lake kwa kutoa mawazo huru?
..and the blah blah questions go on and on!
Jiwe kaingiaje kwa hii mada?
Mkuu are you serious!Siku Mungu akituondolea huyu baba mwenye tamaa ya mali nchi itapona!! Yaani JK, Makamba, Kinana, Zito na Mbowe wakifa hii nchi itasonga mbele
Utakuwa unafaidi sehemu ya huu ufisadi wa awamu hii ya sita. Mawazo ya kipuuzi kabisa kwako ndio unayapigia vigelegele!.[emoji404][emoji344][emoji684][emoji108][emoji106][emoji108][emoji122][emoji109][emoji1666][emoji120][emoji320][emoji556][emoji2924]
Huyo nyerere hakuna anaweza kwepa lawama za nchii, kila kitu kilioriginate kutoka kwakeNyerere kama angewaona kina kikwete ni wahuni kwanini aliwaacha madarakani wakawa mawaziri huku aliona ? Unless na yeye alikuwa muhuni
Mkuu acha chuki! Chuki haimuachi mwenye nayo salama!Hili la mama Salma Kikwete kujenga hoja ya kujenga ubinafsi kwa gharama za wananchi limemuweka hata Kikwete katik nafasi ya ufisadi.
Wanawatumikia wananchi kwa malipo, si kwa moyo.
Ikija tena....... ooooh Tanzania nakupenda......... tutasema kwa msingi upi?
MakojoSiku Mungu akituondolea huyu baba mwenye tamaa ya mali nchi itapona!! Yaani JK, Makamba, Kinana, Zito na Mbowe wakifa hii nchi itasonga mbele
Hebu tujuzeni mabaya makubwa ya huyo bwanaInawezekana hata Nyerere alikuwa mhuni Ila uhuni wake haufanani na huyu Jamaa wa Msoga, mtu wa kujilisha na kujitwalia mema yote ya nchi na watu wake awapendao.