Kwanini frame za Sinza Kodi ipo juu Lakini sioni muingiliano wa watu madukani?

Nimepitia comments hapa nimegundua wachangiaji wengi Wana mawazo hasi Sana..

Tujaribu kufikiria pamoja.. vijana wengi waliopanga frem maeneo ya sinza na makumbusho wamechanga Pesa pamoja mpaka watatu au Zaidi kutokana na aina ya biasha..

Kutoka na aina ya soko linalo patikana makumbusho na maeneo kama sinza na kinondoni yaani wateja kuwa aina flani ya watu wenye kipato cha juu.. walicho fanya kupata soko Lao bidhaa zao wamepandisha bei mpaka Mara mbili..

Kwa mfano nguo ambayo unapata kariakoo Kwa 25k sinza unaweza uziwa mpaka 50k au Zaidi..

Kingine wengi wanaweka bidhaa chache kwasababu now days watu wanafanya biashara mitandaoni unakuta Kuna duka kkoo anakuwa anaaguza Hilo la sinza Ni pambo tu..

Kwa kifupi biashara Ni ubunifu..

Kama frem ya sinza Ni Laki Tano that means per day unahitaji faida kama 30k hivi.. ambayo hiyo inapatikana Kwa mteja mmoja tu makini na Zaidi..

So tusiwe waoga WA biashara.. ingawa pia sikatai kwamba wapo wenye deal nyingine nyeusi lakini tusisahau kwamba wengine wamezaliwa Kwa Pesa wamezikuta na huko ndo maeneo yao
 
Hii ndio Genuine. Badala ya mwanamke kushinda nyumbani unamweka busy kwenye biashara yake unampunguzia muda wa kuzurura na kukucheat na hata kukufuatilia pia since yuko kwenye biashara zake na akili yake inakuwa na jambo la kuiweka attention.

Hapo kwenye 'kucheat' sababu haina mashiko mkuu.

Kama ni tabia yake atafanya tu.
 
Mkuu nikutumie picha ya huyo mwenye t-shirt 12 shop na Kodi ni laki 3?..utanambiaje huyo anafanya online na mzigo Hana? Ofisini kwake Kuna masofa na urembo mwingiii, inatia mashaka
Mkuu huwezi kutoa hitimisho kwa kumtizama mtu mmoja. Yaani duka moja ndio likupe sababu ya kutolea ushahidi suala inayohusu mamia ya maduka!?

Wewe una mjua mmoja mwenye tshirt 12 mm nikikuambia ninawajua 50 wenye mizigo ya maana madukani mwao je!? Nani ambaye sample yake walau walau inamake sense!?

Tujifunze kudhania kheri mara nyingi. We ukimuona mtu anafanya kitu unashindwa kuelewa anafanyafanyaje vzuri uliza kama unataka kujua au kama huwezi kuuliza basi piga kimya wachana na hiyo habari kbs. Sio unaanza kufikiri yule atakuwa mchawi tu!!
 
Hizo fremu zimejaa misukule na vibwengoo,
Niliiba jeans week iliyopita, humu ndani Unga haukai, usiku ukishtuka unaona vimbilikimo vimeshikana vinatembea, Kesho nairudisha nikainunue upya.
Fala-si wewe [emoji23] [emoji23]
 
Ebhnaee hilo tukio lilikuwa bob kubwa la aina yake kumbe ulikuwa unamjua huyo fundi
 
Nani amekwambia mizigo inayosafirishwa na mabasi shekilango inatokea sinza? Asilimia 90 ni kariakoo..? Kwasababu ya ukaribu wa shekilango na sinza usidhani inatokea sinza...watu wengi wa kariakoo wanaleta hapo shekilango kwasababu ndio Kuna mabasi ya kwenda almost mikoa yote.
Watu waliolezea habari za sinza usidhani wametunga , wengi tumeishi Sinza miaka nenda Rudi na wengine tumekuwa na biashara....pita Leo kuanzia shekilango Hadi bamaga note maduka yote next year utakuta mengi mapya...watu wengi wakiona hizo frem na biashara wanajua biashara ipo at the end wanafungua after a year wanafunga , wachache wapo wanaokamaa ku try mwaka mwingine ,wapo pia wanaokuja kuzugia na kupoteza muda ..inshort sinza hakuna biashara Kwa mfanyabiashara serious ...wanaofanya biashara na kumake money ni almost 10% ya biashara zote...wengine waliosali ni kujaribu biashara ,kuzugia, Dili chafu etc ..

Ukishawahi kujiuliza watu wafanyao biashara haramu huwa wanajificha kwenye biashara gani?
 
Mi kila nikipita sinza lazima nitiazme frame zotee alafutaa nyekundu inawaka kichwani yani haiingii akilini ata kidgo, nahichukuliaga mfano tu ndo mimi naanzisha biashara nakula nini nalipaje kodi
Kuna kitu natamani kusema ila moyo unakataa kuhusu frem za sinza japo sio sinza tu kuna maeneo mengine..
Siku nikipata muda nitaleta uzi.
 
Ni sawa iyo ipo ila kw sinza na makumbusho never huwezi niaminish ivo kirahisi never
 
Kuna ukweli wowote kwamba kuna watu kwenye izo fremu wanazuga tu wana miahe tofauti ambazo ni illegal.
 

99%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…